Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: Tanzania Women of Action(Tawa)
Time Submitted: 31 Mutarama, 2012 at 19:12 EAT
keko mwanga A
Kusafishwe mitaro kwani mpaka sasa maji bado yametuama,kuletwe dawa ya kuua wadudu ya kupulizwa{,fumigation} takataka zilizokwama kwenye mitaro mpaka sasa zitolewe ,vyadarua kwa ajiil ya malaria kutokana na mbu kuwa wengi sana.
Kabati 2 zimeharibika,Radio,friji,tv,vyombo vyote vya jikoni,genge langu lote lenye thamani ya laki nane na arobaini limepotea,pesa taslim laki moja na ishirini zimepotea kwenye suluali ,mashuka, magodoro ,mito, na mbuzi wangu watatu.kisima kubomoka
kupoteza mwelekeo kiuchumi,baada ya mali za biashara na za nyumbani kupotea,magonjwa yasiyoisha kwangu na kwa watoto maralia na , kuharisha, kukosa maji, kuvuruga maisha ya watoto wangu kwani hawajaenda shule tangu shule zifunguliwe kutokana na kukosa sare,na vifaa muhimu vya shule
Baada ya kisima kubomoka maji yalijaa sana kitu kinachoashiria maji hayo kuchanganyika na mji taka
Before flooding: dakika 1 kwani ni eneo la hapa nyumbaniNow: dakika 0 kwani siendi popote nabangaiza hapa nyumbani
(No Response)
« Previous responseNext response »

« Back to report