Log in
Chema Development Organization (CDO)

Chema Development Organization (CDO)

Manispaa, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

CHEMA DEVELOPMENT ORGANISATION ni Asasi isiyo ya kiserikali iliyosajiliwa mwaka 2008 chini ya sheria ya mwaka 2002.  Namba ya usajili ni 00ngo00002038 kuna wanachama 10. kabla ya hapo kilikuwa ni kikundi cha sanaa kilichosajiliwa mwaka 2000 chini ya sheria ya Baraza la Sanaa (BASATA) kwa madhumuni ya kuelimisha jamii kwa njia ya sanaa baada ya kugundua sanaa ni njia ya kupeleka ujumbe kwa haraka kwa watu wengi zaidi.  Baada ya kikundi kukua wanachama waliamua kujisajili kuwa NGO ili kupanua wigo wa utekelezaji wa malengo yake kwa jamii. 

Makao makuu ya Chema yapo mkoa wa Morogoro, Manispaa ya Morogoro Kata ya Kingo, Mtaa wa Nkomo jengo la DDC.