Log in
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili  na viungo Tanzania

chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania

msasani-kinondoni, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kuwaleta pamoja watu/familia zinazolea  watoto wenye ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na viungo ili kubadilishana uzoefu, kupata elimu ya namna ya kuwatunza watoto wenye ulemavu wa Mtindio wa Ubongo akili na viungo

Kutoa elimu ya ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na Viungo ili Kupunguza athari na maumivu yatokanayo na Mtindio wa Ubongo na viungo.

 Kukusanya, kuchapisha na kusambaza taarifa zinazohusu matatizo yatokanayo na ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na viungo.

 Kuwasaidia wanachama  kutetea na kupata haki zao kwa mujibu wa sheria.

Latest Updates
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania added 2 News updates.
makam mwenyekiti akiwasilisha mada
September 24, 2015
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania added 4 News updates.
September 22, 2015
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania added a News update.
maadhimisho ya mtindio wa ubongo duniani ktk viwanja vya mnazi mmoja jiiini dar es salaam oktoba 2 2014.mgeni rasmi alikuwa kaimu katibu mkuu wizara ya afya na ustawi wa jamii ndg michael john
October 4, 2014
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania added a News update.
MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM)JUNI 21,2014. – Mwenyekiti anawataarifu wanachama,wajumbe,wadau na jamii yote kuwa juni 21 2014,chawaumavita wanatarajia kufanya mkutano mkuu wa mwaka,katika viwanja vya mazoezi tiba manzese ukombozi,saa 3 asubuhi. – agenda za mkutano mkuu ni – 1.marekebisho ya katiba, ... Read more
June 9, 2014
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania added a News update.
Taarifa – viongozi wa chawaumavita watakuwa hewani katika intavyuu ya channel 10 saa 1 asubuhi.
December 17, 2013
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania added 4 News updates.
October 4, 2013
Sectors
Location
msasani-kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations