Log in
CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA

CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA

mtwara mjini, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kuwezesha wazee kupata haki zao  za msingi katika kupata matibabu bure; kuwawezesha kupata lishe bora, kuwawezesha kupata malazi yaliyo bora na vile vile kupata pensheni kwa wazee wote.

Latest Updates
CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA added 2 News updates.
Chama cha Wastaafu na Wazee Mkoa wa Mtwara ni Asasi ambayo inashughulika katika Mkoa wa Mtwara ambayo imeazishwa mwaka 1987 na kuandikishwa mwezi Machi, 1998. Wanachama hukutana mara kwa mara kujadili maendeleo ya chama na hasa kuondokana na umaskini kwa wazee.Tatizo la chama kwa hivi sasa ni kupata njia ya kuongeza... Read more
May 18, 2011
CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA joined Envaya.
May 18, 2011
Sectors
Location
mtwara mjini, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations