Log in
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR

CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR

Amani Zanzibar, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

1. Kuwaendeleza washairi kiutunzi na maslahi ya kazi zao.

2. Kukikuza, kuendeleza na kukitunza kiswahili ndani na nje ya Tanzania.

3. Kulinda na kutunza utamaduni wa mswahili, aidha mila na silka zetu.

4. Kuendesha na kuunga mkono kampeni zote za kitaifa na kimataifa.

5. Kampeni maalum za kulinda maadili ya mswahili, wanawake, watoto, haki za kibinaadam, na unyanyasaji wowote wa kijinsia.

Latest Updates
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR added MWELA THEATRE TAWI LA VUGA to its list of Partner Organizations.
tumepokea mail kutoka envaya, hii ni kuonesha tuko tayari kwa mashirikiano kamili
May 13, 2012
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR created a Team page.
ZANZIBAR NGOs CLUSTER. – WIZARA YA AFYA. – WIZARA YA HABARI. – IDARA YA MAZINGIRA. – BAKIZA, BASAZA, BAKITA, UKUTA NA JUMUIA NYENGINE ZA KISWAHILI.
May 26, 2011
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR created a Projects page.
Kushiriki katika kampeni mbalimbali ikiwemo: – 1) Kupambana na maambukizi mapya ya HIV/AIDS. – 2) Kuhamasisha utunzaji wa mazingira. – 3) Kutoa elimu ya utungaji na utumiaji fasaha wa Lugha ya kiswahili. – 4) Kufanya mashindano ya utungaji na usomaji wa mashairi na ngonjera pia michezo ya... Read more
May 26, 2011
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR created a History page.
IMEANZISHWA 1996 ZANZIBAR, NA KUZINDULIWA RASMI 1997 NA WAZIRI WA HABARI WA SMZ, MHE. ISSA MOHD ISSA. – INA WANACHAMA 170. MIONGONI MWAO NI WASHAIRI NA WATUNZI MBALIMBALI, WAPENZI WA MASHAIRI NA WANAKISWAHILI. – MAKAO MAKUU YA AWALI YALIKUWA KIKWAJUNI WELES (1996-2007), KISHA KIJITO UPELE... Read more
May 26, 2011
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR joined Envaya.
May 26, 2011
Sectors
Location
Amani Zanzibar, Zanzibar West, Tanzania
See nearby organizations