Log in
BAKWATA WILAYA YA GAIRO

BAKWATA WILAYA YA GAIRO

GAIRO, Tanzania

KENDELEZA NA KUSIMAMIA HARAKATI ZA DINI YA KIISLAM NYANJA ZOTE WILAYANI GAIRO
Latest Updates
BAKWATA WILAYA YA GAIRO added a News update.
MAADHIMISHO YA MAULID YA MTUME S.A.W 1349/2017 MKOA WA MOROGORO – Baraza kuu la Waislam Tanzania BAKWATA Wilaya ya Gairo tunawakaribisha katika maadhimisho ya mazazi ya Mtume Muhamad S.A.W yatakayo fanyika kimkoa katika Wilaya ya Gairo Kata ya Chakwale. Akiongea na waumini wa msikiti mkuu wa wilaya Katibu Wa BAKWATA... Read more
November 28, 2017
BAKWATA WILAYA YA GAIRO added a News update.
TAARIFA KWA WAISLAM WOTE – BAKWATA GAIRO, Tunapenda kwataarifu waislam wote ndani na nje ya nchi kuwa tumeanzisha ujenzi wa shule ya kiislam katika eneo la Chakwale, ujenzi unategemea nguvu za waislam mbalimbali, wafadhiri, kutoka ndani na nje ya nchi ili kufanikisha ujenzi huo. wewe kama... Read more
November 27, 2017
BAKWATA WILAYA YA GAIRO added a News update.
Sheikh wa Wilaya Gairo akiwa na Mh Muft wa Tanzania alipo tembelea Wilayani Gairo nakuwaombea duwa wakazi wa Gairo Mh. Muft aliwaasa viongozi wa wilaya Gairo kuendana na kasi ya maendeleo iliyopo sasa na kuwaeleza kuwa wajitahidi kutafuta maeneo popote na kufanya uwekezaji hasa katika maeneo ya elimu na uchumi kwa ujimla... Read more
November 30, 2016
BAKWATA WILAYA YA GAIRO added a News update.
BARAZA KUU LA WAISLAM TANZANIA Wilaya ya Gairo linawata kheri na baraka katika kusherehekea Idd l'fitri. Ibada ya ya Suna ya Idd kiwilaya itafanyika katika msikiti mkuu wa wilaya Masjid Rahmaan uliopo Gairo Unguu road kuanzia saa 1.30 asubuhi. Akizungumza na waumini wa masjid Rahmaan jana mwezi 29 ramadhan Sheikh wa... Read more
July 28, 2014
BAKWATA WILAYA YA GAIRO added a News update.
Mwenyekiti wa Halmashauri Wilaya BAKWATA Gairo amefariki leo majira ya saa 4 asubuhi. Kwa taarifa ya kifo chake mwenyekiti huyo bwana Sheikh Ramadhan Makame amepatwa na umauti baada ya kusumbuliwa muda mrefu na tatizo la upungufu wa damu, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho saa 7 baada ya swala ya Adhuhuri. INNA LILLAH WA INNA ILAIH RAAJIUN
June 15, 2014
BAKWATA WILAYA YA GAIRO added a News update.
VIGODORO/ RUSHAROHO Nimarufuku kwenye sherehe za kiislam GAIRO. Hayo yalisemwa na sheikh wa kata ya Gairo Sheikh Nassoro Bakari baada ya kumalizika kikao cha baraza la masheikh kata ya Gairo. Akitoa taarifa hiyo makamu wa Imam wa msikiti wa Wilaya ust. Yusuf alisema, Hairuhusiwi kwa Mislam kuhusisha sherehe za kidini na miziki. Hata hivyo... Read more
May 17, 2014
Other Websites
Sectors
Location
GAIRO, Morogoro, Tanzania
See nearby organizations