Log in
Bahi Environmental Network (BAENET)

KULINDA, KUHIFADHI NA KUBORESHA MAZINGIRA KUWA ENDELEVU KWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI, MISITU ASILIA NA MILIMA.

 

 Malengo mengine:

a) Kuwezesha na kuratibu upandaji miti kwa jamii, vikundi na mashuleni.

b) Kuhimiza ufugaji nyuki katika misitu asilia.

c) Kuhamasisha jamii kupunguza wingi wa mifugo na kuhimiza ufugaji ulio rafiki wa mazingira.

d) Kutoa elimu kwa jamii na kuhamasisha uundaji wa vikundi vya kuhifadhi mazingira katika kata na vijiji.

e) Kuwezesha kuundwa kwa kamati za usimamizi wa mazingira katika kata na vijiji.

f) Kujenga sauti ya pamoja kukemea mambo yaliyo kinyume, yanayokusudiwa kutendeka kusababisha uharibifu wa mazingira.

g) Kushirikiana na kujenga mahusiano na vyombo vya serikali na wadau wote wa mazingira katika ngazi zote kuanzia vitongoji, vijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa. 

Latest Updates
Bahi Environmental Network (BAENET) submitted FCS Narrative Report.
April 9, 2011
Bahi Environmental Network (BAENET) joined Envaya.
March 25, 2011
Sectors
Location
BAHI, Dodoma, Tanzania
See nearby organizations