Log in
Bahi Environmental Network (BAENET)
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

FCS Narrative Report

Introduction

BAHI ENVIRONMENTAL NETWORK (BAENET)
BAENET
MAFUNZO YA UTUNZAJI WA ARDHI/MAZINGIRA
FCS/RSG/2/10/162
Dates: January 01 2011 - March 30 2011Quarter(s): Mwisho wa mradi
NICOLAUS D. KOSEY
S.L.P 911,
DODOMA.
SIMU: +255716955936

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Kuwajengea uwezo viongozi wa mitandao ya mazingira katika ngazi ya wilaya na kata katika kusimamia majukumu ya asasi.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
DodomaBahiBahiBahi sokoni, Naguro Bahi, Uhelela20042
DodomaBahiChibelelaChibelela na Isanga13821
DodomaBahiBabayuBabayu, Kongogo na Asanje5954
DodomaBahiZankaZanka, Mayamaya na Mkondai10073
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female0728778
Male1321092
Total2049870

Project Outputs and Activities

-Kuimarika kwa mfumo wa usimamizi wa fedha katika vikundi wilayani Bahi.
-Kuongezeka kwa uelewa wa wanamtandao katika kuandaa miradi.
-Kuongezeka kwa uelewa wa viongozi na wanachama juu ya uendeshaji wa asasi.
-Mafunzo ya viongozi wa kila kikundi namna ya usimamizi wa fedha kwa watu 20.
-Mafunzo ya uandishi wa miradi kwa viongozi na wanachama vikundi.
-Mafunzo ya uongozi na uendeshaji wa asasi kwa viongozi wa vikundi.
Mafunzo ya utunzaji wa ardhi, kuwajengea uwezo viongozi wa BAENET yalifanyika katika kata ya Bahi ndani ya ukumbi wa Bahi Misheni.
Mafunzo hayo yalitekelezwa katika awamu tatu kama ifuatavyo:

AWAMU YA KWANZA
Mafunzo ya awamu ya kwanza yalifanyika kwa siku mbili (2) tarehe 21-22 Feb 2011 ambapo mafunzo ya viongozi wa kila kikundi namna ya usimamizi wa fedha kwa wajumbe 20 yalitolewa. Mambo yaliyofundishwa ni pamoja na:
1. USIMAMIZI WA FEDHA
 Maana ya usimamizi wa fedha
 Umuhimu wa usimamizi wa fedha
 Namna za usimamizi wa fedha
 Miundo mbali mbali ya usimizi wa fedha
2. UUNDAJI WA HATI YA MALIPO
 Utayarishaji wa hati za malipo
 Mifano ya hati za malipo
 Namna ya kujaza hati za malipo
 Uingizaji wa hati za malipo kwenye kitabu cha fedha
 Uhifadhi wa hati za malipo
 Kulinganisha malipo yaliyofanyika na fedha zilizo baki kwa mwezi.

3. BAJETI
 Maana ya bajeti
 Aina za bajeti
 Uandaaji wa bajeti
 Misingi ya upangaji wa bajeti
 Mifano katika uandaaji wa bajeti
4. UANDIKWAJI WA VITABU VYA FEDHA.
 Namna ya uandikwaji wa vitabu vya fedha
 Mambo ya kuzingatia katika uandishi wa vitabu vya fedha
 Mazoezi mbalimbali katika uandishi wa vitabu vya fedha.
5. UTOAJI TAARIFA ZA MIRADI YA FEDHA
 Mambo ya kuzingatia katika utoaji wa taarifa za miradi
 Umuhimu wa utoaji wa taarifa za fedha.
6. MAJUMUISHO YA UJUMLA
 Wajumbe walishirikishwa kueleza na kufafanua kadiri walivyo elewa yale yote yaliyofundishwa tangu kuanza kwa mafunzo.

AWAMU YA PILI
Mafunzo ya awamu ya pili yalifanyika kwa siku 2 tarehe 25-26 Feb 2011. Mafunzo haya yalihu uandishi wa miradi kwa viongozi na wanachama wa vikundi ambapo watu 10 walipokea mafunzo.Mambo yafuatayo yalifundishwa ni pamoja na:
A. Utangulizi
1. Maana ya Mchanganuo au Andiko la mradi.
2. Hatua za kufuata katika uandaaji wa mchanganuo wa mradi.
3. Kubainisha wafadhili na kutambua taarifa muhimu zinazotakiwa kwenye mchanganuo wa mradi
4. Taarifa muhimu zinazoelezwa katika mchanganuo wa mradi.
B. Uandishi wa ukurasa wa mbele katika mchanganuo wa mradi.
 Maana ya ukurasa wa mbele
 Umuhimu wa uandishi nadhifu wa ukurasa wa mbele
 Taarifa muhimu zinazotakiwa kuonekana kwenye ukurasa wa mbele wa mchanganuo wa mradi
C. Uandishi wa muhtasari wa mradi
 Maana ya muhtasari wa mradi
 Umuhimu wa kuandika muhtasari nadhifu wa mradi
 Mambo ya kuzingatia katika uandishi wa muhtasari wa mradi
E. Uchambuzi wa tatizo
 Mambo ya kuzingatia katika uchambuzi wa tatizo
 Kutumia mti wa tatizo na mti wa malengo kufanya uchambuzi wa tatizo
 Mazoezi katika uchambuzi wa tatizo kwa kutumia mti wa malengo na mti wa tatizo katika miradi iliyo buniwa kimakundi
 Ujengaji wa lengo kuu la mradi
 Ujengaji wa malengo mahususi
 Ufuatiliaji na upimaji wa matokeo ya mradi
 Kutafsili shughuli zote katika malengo mahususi kuwa rasilimali kwa kuzingatia mantiki ya kifedha na muda
 Majumuisho ya ujumla juu ya uandaaji wa andiko la mradi

AWAMU YA TATU
Mafunzo ya awamu ya tatu yalifanyika kwa siku 2 tarehe 04-05 March 2011. Mafunzo haya yaliwahusisha viongozi 10 wa mitandao ya mazingira katika vikundi 4 ambapo walipokea mafunzo juu ya Uongozi na uendeshaji wa asasi. Mambo yafuatayo yalifundishwa ni pamoja na:
 Maana ya kikundi
 Vitu muhimu katika kikundi
Aina za viongozi
 Miundo ya uongozi
 Sifa za kiongozi bora
 Viongozi wakuu wa kikundi
 Kazi za viongozi wakuu wa kikundi
 Maana ya utawala bora
 Misingi ya utawala bora
 Mambo yanayoweza kukwamisha utekelezaji wa misingi ya utawala bora
 Kuandaa mpango wa utekelezaji wa shughuli za kikundi

KIKAO CHA TATHMINI
Baada ya washiriki kupokea mafunzo, tarehe 19 March 2011 kiilifanyika kikao cha tathmini ya ujumla ya mafunzo ambapo viongozi na wanamtandao 15 walihudhuria.
Kukumbushana majukumu ya utekelezaji, kupanga mikakati ya uendeshaji wa asasi na kubadilishana uzoefu ndiyo mambo muhimu yaliyo shughulikiwa.
-- Ongezeko la fedha Tshs 4500/= kutokana na makosa ya kimahesabu katika andiko la mradi katika Jumla ndogo Na 1

--Ongezeko la fedha Tshs716200/= kutokana na makosa ya kimahesabu katika andiko la mradi kwa vipengele 3.1, 3.2, 3.3, 3.4,3.10 na 3.11.

-- Matumizi yaTshs 46400/= katika vipengele 4.8 na 4.9 ambapo gharama za chai na chakula kwa mwezeshaji zilisahaulika na ongezeko la vipengele 4.15 na 4.16 kutokana na kusahaulika kwa bajeti ya maji na soda.

-- Matumizi ya Tshs 46400/= katika vipengele 5.8 na 5.9 ambapo gharama za chai na chakula kwa mwezeshaji zilisahaulika na ongezeko la vipengele 5.15 na 5.16 kutokana na kusahaulika kwa bajeti ya maji na soda.

--Matumizi ya Tshs 50000/= kukodi ukumbi ambapo gharama halisi kwa siku ni Tshs 120000/= kwa sasa. Katika vipegele 6.5, 6.6, 6.7 na 6.8 mwezeshaji hakujumuishwa hali iliyosababisha matumizi ya jumla ya Tshs 6700/=. Jumla ya fedha za ziada zilizotumika katika kifungu namba 6.0 ni Tshs 56700/=.

--Matumizi ya Tshs 335000/= kutokana na ongezeko la bei katika vipengele 7.3, 7.7 na 7.8. Matumizi ya Tsh 10200/= kutokana na ongezeko la mahitaji ya barua za kiofisi katika kipengele 7.6. Mabadiliko katika kipengele 7.10 kutokana na ongezeko la gharama za internet na uandaaji taarifa yamesababisha nyongeza ya matumizi ya Tshs 26800/=
Kutokana na fedha iliyokuwepo na mahitaji ya ofisi kama yalivyo ainishwa katika nyongeza ya vipengele 7.12 hadi 7.18 Tshs 226000/= zilitumika.
Hivyo mabadiliko na nyongeza ya vipengele katika baadhi ya shughuli za mkataba zimepelekea nyongeza ya matumizi ya jumla ya Tshs 720700/= zilizogundulika kuwepo nje ya mchanganuo wa matumizi ya fedha za mradi.
NA TAREHE MAELEZO MAFUPI YA SHUGHULI BEI YA KILA MOJA JUMLA Tshs
1.0 KUTAMBULISHA MRADI KWA VIONGOZI
1.1 18/02/2011 Kuchapa barua 20 20@1000 20000.
1.2 18/02/2011 Photocopies 50 50@50 2500.
1.3 06/01/2011 Kutuma risiti kwa mfadhili 10000 10000.
1.4 18/02/2011 Kununua ream 1@9000 9000.
1.5 18/02/2011 Kutengeneza hati 2 za malipo ya asasi 2@6000 12000.
1.6 18/02/2011 Kutengeneza stakabadhi 2 za fedha 2@6000 12000.
1.7 18/02/2011 Kununua daftari 1 la fedha 1@15000 15000.
1.8 18/02/2011 Kununua ledger book 1 1@10000 10000.

Jumla ndogo Na 1. 90500/=

2.0 KUENDESHA MAFUNZO YA SIKU 2 KWA WASHIRIKI 20 JUU YA USIMAMIZI WA FEDHA.
MAANDALIZI
2.1 18/02/2011 Kununua note book 20 20@1000 20000.
2.2 18/02/2011 Flip chart 5 5@9000 45000.
2.3 18/02/2011 Marker Pen 10 10@800 8000.
2.4 18/02/2011 Kalamu 20 20@300 6000.
2.5 18/02/2011 Masking tape 10 10@800 8000.
2.6 18/02/2011 Mawasiliano kadi (voucher) 2 2@5000 10000.
2.7 18/02/2011 Posho ya maandalizi kwa viongozi 2 2@30000 60000.
2.8 18/02/2011 Nauli kwa viongozi 2 2@10000 20000.

Jumla ndogo Na 2. 177000/=


3.0 21-22/02/2011 KUENDESHA MAFUNZO YA SIKU 2
3.1 Usafiri kwa viongozi 5 5@3000 15000.
3.2 Chai kwa watu 22 kwa siku 2 22@1500x2 66000.
3.3 Chakula cha mchana kwa watu 22 kwa siku 2 22@2500x2 110000.
3.4 Chakula cha jioni kwa watu 22 kwa siku 2 22@2500x2 110000.
3.5 Posho wajumbe 20 malazi 20@20000x2 800000.
3.6 Posho wawezeshaji 2 2@70000x2 280000.
3.7 Kukodi ukumbi kwa siku 2 2@120000 240000.
3.8 Nauli washiriki 20 2@20000 40000.
3.10 Maji chupa 34 34@600 20400.
3.11 Soda chupa 34 34@600 20400.


Jumla ndogo Na 3. 1901800/=4.0 KUFANYA MAFUNZO YA UENDESHAJI ASASI VIONGOZI 10 TOKA KATA 4 WILAYANI BAHI KWA SIKU 2
4.1 02/03/2011 Note book 10 10@1000 10000.
4.2 02/03/2011 Flip chart 1 1@9000 9000.
4.3 02/03/2011 Marker pen 10 10@800 8000.
4.4 02/03/2011 Masking tape 10 10@800 8000.
4.5 02/03/2011 Kalamu 10 10@300 3000.
4.6 02/03/2011 Mawasiliano kadi 4 4@5000 20000.
4.7 02/03/2011 Staple pins 4 4@500 2000.
4.8 04-05/03/2011 Chai watu 11 kwa siku 2 11@1500x2 33000.
4.9 04-05/03/2011 Chakula watu 11 kwa siku 2 11@2500x2 55000.
4.10 04-05/03/2011 Posho watu 10 malazi 10@20000x2 400000.
4.11 04-05/03/2011 Posho mwezeshaji 1 kwa siku 2 1@70000x2 140000.
4.12 04/03/2011 Kukodi ukumbi kwa siku 2 1@120000x2 240000.
4.13 04-05/03/2011 Nauli washiriki 10 10@10000 100000.
4.14 04-05/03/2011 Nauli mwezeshaji 1 1@10000 10000.
4.15 04-05/03/2011 Maji chupa 21 kwa siku 2 21@600x2 25200.
4.16 04-05/03/2011 Soda chupa 11 kwa siku 2 11@600x2 13200.


Jumla ndogo Na 4. 1076400/=


5.0 KUENDESHA MAFUNZO YA UANDISHI WA MIRADI KWA VIONGOZI 10 WA VIKUNDI TOKA KATA 4 WILAYANI BAHI
5.1 24/02/2011 Note book 10 10@1000 10000.
5.2 24/02/2011 Flip chart 1 1@9000 9000.
5.3 24/02/2011 Marker pen 10 10@800 8000.
5.4 24/02/2011 Masking tape 10 10@800 8000.
5.5 24/02/2011 Kalamu 10 10@300 3000.
5.6 24/02/2011 Mawasiliano kadi 4 4@5000 20000.
5.7 24/02/2011 Staple pins 4 4@500 2000.
5.8 25-26/02/2011 Chai watu 11 kwa siku 2 11@1500x2 33000.
5.9 25-26/02/2011 Chakula watu 11 kwa siku 2 11@2500x2 55000.
5.10 25-26/02/2011 Posho wajumbe 10 malazi 10@20000x2 400000.
5.11 25-26/02/2011 Posho mwezeshaji 1 kwa siku 2 1@70000x2 140000.
5.12 25-26/02/2011 Nauli washiriki 10 10@10000 100000.
5.13 25-26/02/2011 Nauli mwezeshaji 1 1@10000 10000.
5.14 25/02/2011 Kukodi ukumbi kwa siku 2 1@120000x2 240000.
5.15 25-26/02/2011 Maji chupa 20 kwa siku 2 21@600x2 25200.
5.16 25-26/02/2011 Soda chupa 10 kwa siku 2 11@600x2 13200.


Jumla ndogo Na 5. 1076400/=

6.0 KUFANYA WARSHA YA TATHMINI NA UFUATILIAJI MRADI SIKU 1 WASHIRIKI 15
6.1 17/03/2011 Peni 15 15@300 4500.
6.2 17/03/2011 Note book 15 15@1000 15000.
6.3 17/03/2011 Kukodi ukumbi siku 1 1@120000 120000.
6.4 19/03/2011 Posho kwa washiriki 15 malazi 15@20000 300000.
6.5 19/03/2011 Chai watu 16 16@1500 24000.
6.6 19/03/2011 Chakula watu 16 16@2500 40000.
6.7 19/03/2011 Soda watu 16 16@600 9600.
6.8 19/03/2011 Maji watu 16 16@600 9600.
6.9 19/03/2011 Nauli kwa washiriki 15 15@5000 75000.
6.10 19/03/2011 Posho mwezeshaji 1 1@70000 70000.
6.11 19/03/2011 Nauli kwa mwezeshaji 1 1@10000 10000.


Jumla ndogo Na: 6 677700/=


7.0 GHARAMA ZA UTAWALA
7.1 21/02/2011 Mshahara wa Katibu miezi 3 3@150000 450000.
7.2 21/02/2011 Mshahara wa mweka hazina miezi 3 3@120000 360000.
7.3 20/02/2011 Laptop 1 (Dell Latitude D620) 1@600000 600000.
7.4 21/02/2011 Photocopies 150 150@50 7500.
7.5 18/02/2011 Kununua mafaili 4 4@1500 6000.
7.6 18/02/2011 Uchapaji na uandishi wa barua 21 21@700 14700.
7.7 08/03/2011 Meza ya ofisi 1 1@180000 180000.
7.8 08/03/2011 Viti vya ofisi 2 2@130000 260000.
7.9 08/03/2011 Viti vya plastiki 2 2@10000 20000.
7.10 09/04/2011 Kutuma taarifa FCS 1@37800 37800.
7.11 18/03/2011 Mawasiliano kadi (Voucher) 4 4@5000 20000.
7.12 03/03/2011 Kununua daftari la wageni 1 1@5000 5000.
7.13 18/03/2011 Kununua headal paper 250 250@300 75000.
7.14 18/03/2011 Kununua Calculator 1 1@14000 14000.
7.15 18/02/2011 Kununua wino wa kufutia(Correction fluid) 2 2@1500 3000.
7.16 12/03/2011 Kununua USB Modem (Vodacom K3570) 1 1@49000 49000.
7.17 21/02/2011 Posho kwa mwakilishi wa Mkurugenzi (W)Ufunguzi wa mafunzo 40000.
7.18 05/03/2011 Posho kwa Mh Diwani kata ya Bahi Kufunga mafunzo 40000.Jumla ndogo Na: 7 2182000/=


JUMLA KUU(Jumla ndogo Na 1+2+3+4+5+6+7)= 7181800/=


Project Outcomes and Impact

-Taarifa za fedha za shughuli zinaandikwa na kusomwa kwa wanachama.
-Kuongezeka kwa idadi ya vikundi vya kutunza na kuboresha mazingira.
-Wanachama wanashirikishwa katika kutoa maamuzi kwenye vikundi vyao.
-Kupatikana na kutumika kwa vitabu vya fedha katika mitandao ya wilaya ya Bahi.
-Kuongezeka kwa idadi ya wanachama na viongozi wenye uelewa kuhusu uandaaji wa andiko la mradi.
-Vikao vinaitishwa kwenye vikundi na kupungua kwa migogoro miongoni mwa wanachama na viongozi wa vikundi.
-Kutambulika na kujenga mahusiano kati ya wanamtandao na viongozi wa serikali.
-Kutambua majukumu na wajibu wa viongozi na wanachama katika asasi.
-Kuongezeka kwa uelewa wa wanachama na viongozi juu ya umuhimu wa usimamizi wa fedha.
-Kuamsha ari ya viongozi kujituma na kufanya kazi kwa moyo mmoja.
(No Response)

Lessons Learned

Explanation
Katika mafunzo ya usimamizi wa fedha tumejifunza mambo mengi sana ambayo kimsingi aidha wengi wetu hatukuwa na uelewa mzuri au tulikuwa hatujui kabisa.Miongoni mwa mambo mapya tuliyojifunza ni pamoja na:
-Maana ya usimamizi wa fedha
-Umuhimu wa usimamizi wa fedha
-Namna ya uandikwaji wa vitabu vya fedha
-Mambo ya kuzingatia katika uandishi wa vitabu vya fedha
-Namna za usimamizi wa fedha
-Miundo mbali mbali ya usimizi wa fedha
-Utayarishaji wa hati za malipo
-Mifano ya hati za malipo
-Namna ya kujaza hati za malipo
-Uingizaji wa hati za malipo kwenye kitabu cha fedha
-Uhifadhi wa hati za malipo
-Kulinganisha malipo yaliyofanyika na fedha zilizo baki kwa mwezi
-Maana ya bajeti
-Aina za bajeti
-Uandaaji wa bajeti
-Misingi ya upangaji wa bajeti
-Utoaji taarifa za miradi ya fedha
-Mambo ya kuzingatia katika utoaji wa taarifa za miradi
-Umuhimu wa utoaji wa taarifa za fedha.
Katika mafunzo ya uandaaji wa mchanganuo wa mradi au andiko la mradi,tumepata picha halisi ya nini andiko linahitaji ili likamilike. Kimsingi mambo yote yalikuwa ni mapya kwetu na tumejitahidi kuyaelewa vizuri. Miongoni mwa mambo tuliyojifunza ni pamoja na:
-Maana ya Mchanganuo au Andiko la mradi.
-Hatua za kufuata katika uandaaji wa mchanganuo wa mradi.
-Kubainisha wafadhili na kutambua taarifa muhimu zinazotakiwa kwenye mchanganuo wa mradi
-Taarifa muhimu zinazoelezwa katika mchanganuo wa mradi.
-Uandishi wa ukurasa wa mbele katika mchanganuo wa mradi.
-Maana ya ukurasa wa mbele
-Umuhimu wa uandishi nadhifu wa ukurasa wa mbele
-Taarifa muhimu zinazotakiwa kuonekana kwenye ukurasa wa mbele wa mchanganuo wa- mradi
-Uandishi wa muhtasari wa mradi
-Maana ya muhtasari wa mradi
-Umuhimu wa kuandika muhtasari nadhifu wa mradi
-Mambo ya kuzingatia katika uandishi wa muhtasari wa mradi
-Uchambuzi wa tatizo
-Mambo ya kuzingatia katika uchambuzi wa tatizo
-Kutumia mti wa tatizo na mti wa malengo kufanya uchambuzi wa tatizo
Katika mafunzo ya uongozi wa vikundi na uendeshaji asasi, mambo mapya tuliyojifunza ni pamoja na misingi ya utawala bora, majukumu ya kila mwanakikundi na umuhimu wa utekelezaji wa kanuni na taratibu za asasi.

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali katika utekelezaji wa mradi.Tulitumi fedha izilizogundulika kuwepo nje ya mchanganuo.
Muda wa mafunzo ulikuwa ni mfupi ukilinganisha na upana wa mafunzo yenyewe.Wakufunzi walijitahidi kutumia muda uliopo katika kuwasilisha mada zote husika kwa lengo la kila mjumbe kuelewa vizuri.
Hali ya hewa na jografia ya baadhi maeneo ya kata wajumbe wanapotoka ilikuwa inahatarisha mahudhurio ya baadhi ya wajumbe.Tuliwaomba wajumbe hao kufika katika eneo la tukio mapema siku moja kabla ya mafunzo kuanza.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Serikali ya kijiji, kata,tarafa na wilaya.Tulitoa taarifa kuhusu kufanyika kwa mradi huu ambapo katika mafunzo ya awali watendaji wa kata wanachama wa BAENET walishiriki. Mafunzo yalifunguliwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Bahi kwa niaba ya Mkurugenzi Wilaya ya Bahi na hatimaye kufungwa na Mhe Diwani wa kata ya Bahi ambapo mafunzo yalifanyikia.
Idara ya maendeleo ya jamii wilaya ya Bahi pamoja na baadhi ya asasi za kiraia wilayani Bahi ikiwemo BANGONETWawakilishi toka idara ya maendeleo ya jamii na BANGONET walihudhuria sehemu ya mafunzo katika utekelezaji wa mradi huu.

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Utekelezaji wa shughuli za mradi umeisha na mradi umefungwa, hivyo utoaji taarifa utategemea wadau kuuliza au kuhoji taarifa wanae ihitaji na sisi tupo tayari kujibu kwa kuitolea maelezo.

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale07 28778
Male1321092
Total2049870
Idadi hii ya watu ni ya ujumla pasipo kuzingatia makundi kama yalivyo ainishwa kwenye fomu hii. Ujumla huu wa takwimu unatokana na ugumu wa upatikanaji wa taarifa sahii za mchanaganuo wa takwimu za makundi hayo katika baadhi ya vijiji na kata.

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya usimamizi wa utekelezaji wa Mradi kwa asasi13/12/ 2010 hadi17/12/ 2010-Upangaji na usimamizi wa Mradi
-Ufuatiliaji na Tathmini
Kusimamia na kutekeleza mradi tutakayopewa.

Attachments

(No Response)

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.