Latest Updates
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA) added 4 News updates.
Chama cha Skauti Zanzibar leo tarehe 17/3/2018 kimemuapisha Skauti mkuu wa chama cha skauti Zanzibar katika ukumbi wa Kilimanjaro Super star Nursery uliopo Mwanakwereke Mjini Zanzibar ... Read more
March 19, 2018
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA) updated its History page.
Chama cha Skauti Ulimwenguni kilianzishwa na Mwengereza aitwae Sir Lord Baden Powel (BP) tangu mwaka 1907 huko uingereza katika kisiwa cha Brown sea, uskauti uliingia Zanzibar mwaka 1912 miaka 5 tu baada ya kuanzishwa na Sir lord Baden Powel. – Chama cha Skauti Zanzibar kimeanzishwa mwaka 1912 tangu ukoloni, baada ya Mapinduzi ya... Read more
March 19, 2018
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA) added a News update.
Karibuni Zanzibar scouts Association
February 13, 2018
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA) added a News update.
habari ndugu maskauti na wapenzi wa blog hii salam na pongezi kwa Uongozi wa CHUCHU FM kutusapoti katika kuendesha harakati za Skauti hapa ZANZIBAR kwa kurusha kipindi Maaalum katika kituo chenu cha Redio AHSANTE – UONGOZI WA CHUCHU FM – MULHAT DORCE KWA USHIRIKIANO WENU MZURI MULIOTUPA KATIKA SIKU HII YA LEO YA 22/2/2014 SIKU YA... Read more
February 22, 2014
ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION (ZANSA) added a News update.
Chama cha skauti Zanzibar kinatoa salaam na pongezi kwa SKAUTI MKUU mteule mama MWANTUMU BAKARI MAHIZA kwa kuteuliwa kwa Skauti Mkuu Hii ni Mara ya kwanza katika Chama hicho kupata skauti mkuu wa kike Tangia kuanzishwa kwake. – Chama cha skauti Tanzania kimekuwa kikiyumba kutokana na kuna matatizo mbali... Read more
June 12, 2013
Mission
1. Kuanzisha na kuhamasisha mafunzo ya uskauti kwa vijana wa Zanzibar na Dunia.
2. Kunganisha skauti wote dunian mahala pamoja bila ya kujali hali, dini, rangi wala kabila.
3.Kuendeleza na kuhamasisha ushirikiano na maelewano miongoni mwa jamii na maskauti
4.Kuandaa mtaala utaochangia kujenga muundo wa ufundishaji waskauti katika jamii
5. Kuhamasisha maskauti kushiriki katika shughuli za jumuia zote zenye malengo sawa na yetu.
Other Websites
Sectors
Location
Kwahani Baja Zanzibar, Zanzibar West, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations