Log in
UTUNZAJI WA MAZINGIRA MBINU MBALA

UTUNZAJI WA MAZINGIRA MBINU MBALA

Arusha, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kuwafikia wananchi walio katika mazingira magumu ili kuwapa elimu ya mazingira kwa ujumla wake na kurudisha uoto wa asili, Jambo muhimu ni kuhakikisha kuwa kila kaya inapata uhakika wa chakula, pamoja na mbinu za uvunaji wa maji ya mvua ili walio katika mazingira ya ukame wapate maji kwa matumizi yao ya kila siku. Uanzishwaji wa vitalu vya miche ya miti, ikiwa ni ya asili pamoja na ya matunda.

Latest Updates
UTUNZAJI WA MAZINGIRA MBINU MBALA added a News update.
Tumekuwa na mikakati ya kubadilisha mazingira hasa katika maeneo ya miinuko, hali ambayo itaweza kusaidia mabadiliko ya tabia ya nchi, ni pamoja na vyanzo vya maji katika milima yote inayoizunguka mji wa arusha, Jambo hili linahitaji kupata ufadhili wa nguvu kazi pamoja na pesa za kuwezesha kufikia lengo lililokusudiwa. – Tunaomba... Read more
July 10, 2015
UTUNZAJI WA MAZINGIRA MBINU MBALA joined Envaya.
June 7, 2015
Sectors
Location
Arusha, Tanzania
See nearby organizations