Log in
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch

Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch

Mtwara, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kuimarisha na kuboresha shughuli za Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Wakulima ili kuhakikisha kwamba Sekta Binafsi inachangia kikamilifu na inakuwa chachu ya Maendeleo ya wananchi mmoja mmoja na Taifa kiujumla.

Latest Updates
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch submitted FCS Narrative Report.
April 3, 2012
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch added a News update.
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture (TCCIA) - Tawi la Mkoa wa Mtwara tumeanza utekelezaji wa Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Jamii katika kufanya Ufuatiliaji wa Matumizi ya Fedha na Raslimali za Umma (PETS) kupitia Mipango ya Kuendeleza Kilimo Wilayani (DADPs) na Mipango Shirikishi Jamii ya Kilimo na Mifugo (PADEP) ambayo ni... Read more
March 4, 2012
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch joined Envaya.
March 3, 2012
Sectors
Location
Mtwara, Tanzania
See nearby organizations