Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

cha albino Tanzania kilianzishwa  mwaka 1978 na kusajiriwa rasmi kama NGO tarehe 09 / 04 / 1980 kwa madhumuni ya kulinda na kutetea haki na maslahi ya albino katika nyanja za EELIMU, AFYA, UCHUMI,  KIDEMOKLASIA NA USTAWI WA JAMII. 

Tawi letu la wilaya ya Kinondoni lilianzishwa mwaka 2006 kwa madhumuni ya kuboresha na kusogeza huduma kwa wanachama wake, tawi lilianza likiwa na viongozi sita 6 wa kuteuliwa na tulifanya uchaguzi  tulipata viongozi 11 wa kamati ya utenda wa kuchaguliwa tarehe 29 / 09 / 2009. ofisi yetu ipo Magomeni mwechai katika eneo la shule ya msingi mwalimu Nyerere kibanda na A43. tuna wanachama wapatao mia tatu 300 kati yao watoto 120 na watu wazima 180