Log in
Tanzania Association for the Deaf(TAD) Tanga Branch(CHAVITA TANGA)

Tanzania Association for the Deaf(TAD) Tanga Branch(CHAVITA TANGA)

TANGA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kufanya shughuli zote zinazohusu viziwi,kutoa huduma na kuandaa mikakati mbali mbali kwa manufaa ya viziwi na wanachama.

Kuunganisha na kuelimisha viziwi ili wapate hali bora ya maisha na huduma muhimu kama raia wengine wa Tanzania.

Kupigania haki na usawa,ushirikiano na jumuiya nyingine,vyombo vya serikali na mashirika mbalimbali yenye malengo yanayolingana na matakwa ya CHAVITA.

Kuhakikisha matumizi ya Lugha ya Alama ya Tanzania inapewa kipaumbele na kutumiwa na viziwi wote na wakalimani mahali popote.

Kukusanya Takwimu za watoto viziwi waliopo katika wilaya za mkoa wa Tanga Kwa kushirikiana na ofisi za serikali kuu na serikali za mitaa.

Latest Updates
Tanzania Association for the Deaf(TAD) Tanga Branch(CHAVITA TANGA) added 11 News updates.
PICHA YA PAMOJA WAJUMBE WA MKUTANO NA MGENI RASMI
April 7, 2012
Tanzania Association for the Deaf(TAD) Tanga Branch(CHAVITA TANGA) created a Projects page.
Hivi sasa mradi wa lugha ya alama kwa wazazi wa viziwi na viziwi uliokuwa unaendeshwa katika wilaya 8 za mkoa wa Tanga umemalizika na mkataba kati ya CHAVITA NA FOUNDATION Umeshafungwa. kwa sasa CHAVITA Kipo katika mchakatowa kuandika mradi mwingine wa MKUKUTA. – Kwa upande mwengine CHAVITA kipo katika maanalizi ya mkutano mkuu wa... Read more
April 7, 2012
Tanzania Association for the Deaf(TAD) Tanga Branch(CHAVITA TANGA) joined Envaya.
March 18, 2012
Sectors
Location
TANGA, Tanga, Tanzania
See nearby organizations