Log in
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA
Parts of this page have been translated from Swahili to English. View original · Edit translations

Giving the community the strength to have equal rights in decision making processes, ensuring the community receives health education and stays healthy, sanitation, and self-realization.

Latest Updates
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA added a News update.
NGOME imefungua tawi jingine la klabu ya wanafunzi kama zilivyo klabu zingine za NGOME katika shule za sekondari ya Mikindani na Mitengo. Klabu hiyo ya NGOME imefunguliwa katika shule ya sekondari NDUMBWE Mtwara vijijini. Klabu hizi ni kwaajili ya Elimu ya Afya ya Uzazi na Stadi za Maisha kwa wanafunzi wa sekondari, ambao... Read more
July 23, 2011
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA added a News update.
Elimu ya Ukimwi na Jinsia katika shule za Sekondari, hapa mtaalam wa Afya akitoa Elimu hiyo kwa wanafunzi wa sekondari ya Mitengo Mtwara Mjini
June 16, 2011
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA added a News update.
June 7, 2011
Deo Makoti: Kuna tabu kubwa sana inayowkumba wanafunzi wa shule zilizo nje kidogo ya mjini kwa kuwa wanakataziwa na makonda kupanda na wasafiri wakubwa hatuwasaidii kuwatetea watoto hawa halafu tunalaani kufeli kwao tukiilaumu serikali kutokuwa na miundo mbinu wakati sisi hatusapoti chochote.
May 30, 2011
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA added a News update.
NGOME inafanya Utafiti wa Matatizo yanayofanya kuwe na Ndoa zinazovunjika mara kwa mara katika kata za Ufukoni na Mpapura ili kupanga mbinu mbadala ya kutatua tatizo hili linalopelekea maambukizi ya UKIMWI kuzidi kuenea kwa kasi kubwa pamoja na watoto wa Mitaani.
May 26, 2011
Sectors
Location
Wilaya ya Mtwara, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations