Log in
MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO)

MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO)

Zanzibar, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
MEECO

Mission

Kuwa Jumuiya bora ambayo itakayoweza kuleta maendeleo  na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kupunguza umasikini na kufanya maisha bora kwa jamii.

Latest Updates
MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) added 3 News updates.
Katibu wa MEECO Ndugu Suleiman Jeni Pandu akimkabidhi andiko la Mradi "Uwezeshwaji kwa maendeleo" Mh. Haroun Ali Suleiman, waziri wa kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika kwa ajili ya kuchukuliwa hatua andiko hilo. Makabidhiano hayo yalifanyika ofisini kwake Mwanakwerekwe Read more
October 23, 2012
MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) added a News update.
Kwa upande wa Asasi yetu ya MEECO nasisi tunatoa salamu za rambirambi kwa familia za ndugu zetu waliopoteza maisha yao katika mafuriko yaliyotokea. Tunapenda kuungana nao kwa hali na mali kwa upande wa shirika letu la envaya tunashukuru sana kwa kuwa karibu na jamii kila linapotokea janga.
December 25, 2011
MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) updated its Team page.
November 29, 2011
MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) added 5 News updates.
Vijana hatarishi katika masuala ya uharibifu wa mazingira kwa kuchimba mchanga walio jaa katika Mji wa Mwanakwerekwe, vijana hawa vilevile hutumia bangi na madawa ya kulevya ili kujipatia vipato vyao na huwa hatari sana kwa wapenda maendeleo kwani huwa wanachukuwa silaha mbalimbali katika harakati zao za... Read more
September 26, 2011
MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) added 3 News updates.
Viongozi na wanachama wa jumuiya ya MEECO wakiwa katika ziara yao ya kuhamasisha jamii kuhusu utunzaji na uhifadhi wa mazingira ya mikoko katika kijiji cha Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja
September 23, 2011
MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) added 29 News updates.
Vijana wa MEECO talent group nao hawakombali kushiriki katika uhamasishaji wa utunzaji wa Mazingira katika mikoko katika kijiji cha Unguja ukuu
September 22, 2011
Sectors
Location
Zanzibar, Zanzibar Central/South, Tanzania
See nearby organizations