Log in
KILIMANI SACCOS

KILIMANI SACCOS

Kaskazini A, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kilimani Saccos ni Jumuiya ya kiraiya ina lengo la kusaidia wanachama wake waweze kuboresha maisha yao ya kiuchumi, kijamii na maendeleo ya watu na mahala wanopo ishi.  Mtu wa umri wa miaka 18 au zaidi aweza kujiunga kwa kujaza fomu ya jumuiya na kuwezeshwa katika shughuli za kijumuiya kwendana na Katiba ilosajiliw baada ya kuundwa jumuiya mnamo tarehe 8 mwezi wa Aprili mwaka 2007.

Latest Updates
KILIMANI SACCOS created a Projects page.
SACCOS kitengo ambacho wanachama huweka na kukopa
May 26, 2011
KILIMANI SACCOS joined Envaya.
May 26, 2011
Sectors
Location
Kaskazini A, Zanzibar North, Tanzania
See nearby organizations