Log in
HISIA CULTURAL TROUPE

HISIA CULTURAL TROUPE

IRINGA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Ni kuelimisha jamii juu ya matatizo mbalimbali yanayoizunguka, kutoa burudani kwa jamii na kutoa ajira na kujiongezea kipato.

Latest Updates
HISIA CULTURAL TROUPE added a News update.
HISIA CULTURAL TROUPE-HCT – February 8, 2017 Iringa – HCT ni asasi iliyosajiliwa na Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) kwa usajili namba BST/2365 na inajishughulisha na uelimishaji wa jamii kwa njia ya sanaa za maonyesho. Sanaa hizo ni kama vile maigizo shirikishi, vichekesho,... Read more
February 8, 2017
HISIA CULTURAL TROUPE added 3 News updates.
Mwonekano wa cover ya "Mchunga ng'ombe"
June 18, 2016
HISIA CULTURAL TROUPE updated its Volunteer page.
HISIA kinaomba kupata mfanyakazi wa kujitolea ambaye atatusaidia kufanya shughuli za ukatibu muhtasi. Hatuna malipo yoyote kwa kazi hiyo bali mtu huyo atapata faida ya kufundishwa upigaji wa picha za video, picha za mgando na maswala ya Uigizaji wa filamu. – Aidha kama atakuwa amefanya kazi hiyo kwa uaminifu na uadilifu huenda... Read more
June 18, 2016
HISIA CULTURAL TROUPE updated its Projects page.
TUNAENDELEA na mradi wa utengenezaji wa filamu za Kiswahili kwa lengo la kuelimisha jamii yetu lakini tukiwa pia na lengo la kuzitengeneza kwa ajili ya kuinua kipato cha Wanachama (wasanii)
June 18, 2016
HISIA CULTURAL TROUPE added a News update.
HISIA CULTURAL TROUPE ipo katika mchakato wa kuboresha shughuli zake na kuongeza shughuli za uelimishaji rika na nyinginezo za kijamii. Ukiwa kama mwanajamii tunahitaji sana ushauri wako katika kuboresha hilo ambapo kama jina litapitishwa itajulikana kwa jina ... Read more
August 8, 2015
HISIA CULTURAL TROUPE added 3 News updates.
Mashirikiano na mdau wa peace Corps
August 5, 2015
Other Websites
Sectors
Location
IRINGA, Iringa, Tanzania
See nearby organizations
HISIA CULTURAL TROUPE
HISIA ACTIVITIES