Log in
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA)

CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA)

Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kuunganisha jamii ya viziwi katika nyanja za utamaduni na kuandaa matamasha mbali mbali ya michezo kwa manufaa ya viziwi wa mkoa wa TANGA.

Kuhamashisha jamii ya viziwi kupenda michezo ili wapate kuibua vipaji vyao na kuwa na vijana viziwi wenye ARI ya kushiriki katika michezo mbalimbali.

Kupigania haki na usawa katika michezo na kuondokana na hali ya unyanyapaa katika michezo na kushirikiana na vyama vingine vya michezo ndani na nje ya nchi.

Latest Updates
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) added a News update.
TANGAZO. – CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI TANGA-CHAMIVITA. – CHAMIVITA-TANGA kinaomba ushirikiano na wadau mbalimbali ili kuinua ari ya... Read more
May 27, 2014
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) added a News update.
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI TANGA (CHAMIVITA)TANGAASSOCIATION OF SPORTS FOR THE DEAF... Read more
May 4, 2012
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) created a Team page.
DAVID NYANGE- MWENYEKITI – ALLY NASSORO-KATIBU – MWANAKOMBO ATHUMANI- MWEKA HAZINA
April 19, 2012
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) added 5 News updates.
madhumuni ya sera
April 8, 2012
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) added 14 News updates.
KIKOSI CHA CHAMIVITA SPORTS CLUB KILICHOIFUNGA MAKORORA STAR BAO 1-0
March 25, 2012
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) added 3 News updates.
Viongozi watendaji wa CHAMIVITA Mweka hazina Bi mwanakombo Athumani na Mwenykiti wa CHAMIVITA Bwana David Nyange.
March 21, 2012
Sectors
Location