Log in
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA

CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA

LUSHOTO, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

MADHUMUNI

1.1.1  Kusaidia jamii wakati wa maafa na/au majanga mbalimbali.

1.1.2  Kusaidia wakati wa shughuli mbalimbali za kijamii na kiutamaduni.

1.1.3  Kubuni program zitakazohusisha ajira rasmi na    zisizorasmi              

            zinanohusu uzalishaji Mali na huduma.

1.1.4  Kubuni mikakati mbalimbali itakayoweza kuimarisha maendelao ya

          Elimu miongoni mwa Wananchi watokao Wilayani Lushoto.

1.1.5  Kuonyesha kwa vitendo katika kuwajali watu walioathirika na kuathiriwa

          na UKIMWI na WALEMAVU.

1.1.6  Kukuza ajira miongoni mwa Vijana na Wananchi kwa njia ya Kilimo,

          Ufugaji na Biashara.

1.1.7   Kujenga mahusiano na Taasisi za ndani na nje ya nchi ili kuleta

           mahusiano kati ya CHAMA na Taasisi husika.

1.1.8  Kuboresha uhifadhi na kuonyesha kwa vitendo katika kujali Ulinzi wa 

         Mazingira.

1.1.9  Kushiriki katika kubuni, kupanga na kutekeleza mipango mbalimbali

          ya Kitaifa na Kimataifa.

1.1.10 Kuhamasisha jamii mbalimbali ili kujiunga na vyama vya Akiba na

         Mikopo yaani Savings and Credit Cooperative Society (SACCOS).

1.1.11  Kuendesha Makongamano, Warsha, Semina, Majadiliano na Mikutano

          inayohusu maswala mbalimbali ya Michezo na Maendeleo.

1.1.12   Kuhimiza utunzaji wa vyanzo vya Mito, Upandaji wa Miti na

            utunzaji Mazingira.

 

1.2              KAZI

1.2.1  Kuhamasisha utoaji wa Michango itakayo wezesha Ujenzi wa Shule:Za

      Awali,Msingi,Sekondari,Vyuo,Vituo vya Afya na Zahanati  Wilayani   

      Lushoto pamoja na sehamu mbalimbali za nchi.

1.2.2 Kuhamasisha Uanzishwaji wa Vituo vya kulelea Watoto Yatima,na

      waishio Mazingira hatarishi.Na Vituo vya Ushauri nasaha kuhusu   

       magonjwa ya Ukimwi.

1.2.3 Kuanzisha Mfuko wa Jamii kwa ajili ya kusaidia Wajane, Wazee, Vijana

        na Yatima.

1.2.4 Kuainisha na Kuwezesha utekelezaji wa Program za Mafunzo  

      kuendeleza Vijana na Watoto katika kupanua Vipaji vyao maalumu

       kimichezo.

1.2.5 Kuwasiliana na Mashirika yaliyoko ndani na nje katika kusaidia

        Madhumuni na Malengo ya CHAMAKIVU.

1.2.6  Kutoa Elimu ya Ujasiliamali kwa lengo la kuboresha Kilimo, Ufugaji,

        Biashara na utoaji wa Huduma mbalimbali.

1.2.7  Kuendesha Makongamano, Warsha, Semina, Majadiliano na Mikutano

         mbalimbali inayo husu Maendeleo.

1.2.8 Kuwa Wadhamini kwa Wanachama walengwa wote wa CHAMAKIVU

         katika uwezeshaji wa Mikopo na/au Utoaji wa Mikopo kulingana na      

          Taratibu za CHAMA.

Latest Updates
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA updated its Projects page.
MRADI WA UTAWALA BORA NA HAKI ZA KIRAIAUNAENDESHWA NA ASASI YA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY FCS.3.0 HISTORIA YA MRADI... Read more
January 7, 2014
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA added 23 News updates.
PICHA: VIONGOZI NA WANACHAMA WA CHAMAKIVU WAKIWA OFISINI, KATIKA OFISI YA CHAMAKIVU
December 23, 2013
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA added 15 News updates.
PICHA JUU MH DIWANI KATA YA MPONDE AKICHANGIA MADA KATIKA MAFUNZO YA UTAWALA BORA YANAYO ENDESHWA NA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY FCS. Read more
December 22, 2013
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA updated its Projects page.
MRADI WA UTAWALA BORA NA HAKI ZA KIRAIAUNAENDESHWA NA ASASI YA CHAMAKIVU KWA UFADHILI WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIATY FCS.3.0 HISTORIA YA MRADI... Read more
December 22, 2013
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA updated its Home page.
MADHUMUNI – 1.1.1 Kusaidia jamii wakati wa maafa na/au majanga mbalimbali. – 1.1.2 Kusaidia wakati wa shughuli mbalimbali za kijamii na... Read more
December 22, 2013
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA added SHANGWE COUNSELING CENTRE to its list of Partner Organizations.
July 29, 2013
Sectors
Location
LUSHOTO, Tanga, Tanzania
See nearby organizations