Log in
Chalinze Community Development Centre

Chalinze Community Development Centre

Chalinze, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

CHACODE ni asasi ya kuwajengea uwezo jamii fursa ya kujitambua uwezo katika masuala ya kiuchumi,Kijamii na Kiutamaduni kwa kutumia rasilimali zilizopo katika misingi ya utawala bora.

Pia kuhakikisha jamii inapata taarifa za maendeleo yake kwa uwazi ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji katika jamii,kila mmoja akitimiza wajibu wake maendeleo.

Asasi inakusudia kuwa kiungo kizuri kati ya wadau wa maendeleo na wananchi

Latest Updates
Chalinze Community Development Centre updated its Team page.
Viongozi wa Asasi ya CHACODE ni kama ifuatavyo; – Thadei Hafigwa-Mkurugenzi Mtendaji Severin Blasio-Kaimu Mkurugenzi Ahmed Mkila-Katibu Gelasius Lisakafu-Mhasibu Alphoncia Mbuya-Mwekahazina John Kidasi-Mjumbe Jackline Autho-Mjumbe Yustina... Read more
July 28, 2014

February 25, 2014

June 3, 2013

May 26, 2013
Chalinze Community Development Centre updated its History page.
Asasi ya CHACODE ni imeanzishwa na watanzania,wazalendo kwa lengo la kuunganisha nguvu kwa pamoja katika kuhakikisha ya kuwa jamii ya watanzania wanapata maendeleo.Asasi hii imeanza mchakato wake wa kimuundo mwaka 2007 baada ya wabaini changamoto za kimaendeleo zinazoikabili jamii hususan vijana kukosa ajira,wazee,wajane,watoto yatima na tatizo... Read more
May 26, 2013
Chalinze Community Development Centre created a Home page.
CHACODE ni asasi ya kuwajengea uwezo jamii fursa ya kujitambua uwezo katika masuala ya kiuchumi,Kijamii na Kiutamaduni kwa kutumia rasilimali zilizopo katika misingi ya utawala bora. – Pia kuhakikisha jamii inapata taarifa za maendeleo yake kwa uwazi ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji katika jamii,kila mmoja akitimiza wajibu... Read more
October 6, 2012
Sectors
Location
Chalinze, Pwani, Tanzania
See nearby organizations