Log in
BLUE STAR MEDIA

BLUE STAR MEDIA

DAR ES SALAAM, Tanzania

Blue Star Media

Blue Star Media ni Asasi isiyo ya Kiserikali iliyoanzishwa mwaka 2016 ambayo inajishughulisha na masuala ya uandaaji Sinema (Movie) pamoja na video mbalimbali. Pia inajishughulisha na masuala ya kutoa mafunzo kwa wasanii mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine badi wanahitaji kuongezewa taaluma hiyo ya sanaa.

Katika kukuza vipaji, Asasi hii ina uwezo wa kutoa mafunzo kwa watoto wadogo ambao mara nyingi ama wazazi wao au walezi wao huwa wanakosa muda wa kuwaangalia na kugundua uwezo wa watoto wao katika suala zima la vipaji.

Aidha, Asasi hii itajihusisha katika suala la kusaidia watoto yatima pamoja na walemavu kupitia sanaa na maonesho. Hii ni baada ya kuona kuwa Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina mzigo mkubwa wa kimaendeleo, hivyo si vibaya asasi ikatumia mwanya huo kuisaidia katika hili.

Imeandaliwa na:

Hamis Namawala.

Mwenyekiti.

Latest Updates
BLUE STAR MEDIA added a News update.
Director.
October 13, 2016
BLUE STAR MEDIA created a Home page.
Blue Star Media – Blue Star Media ni Asasi isiyo ya Kiserikali iliyoanzishwa mwaka 2016 ambayo inajishughulisha na masuala ya uandaaji Sinema (Movie) pamoja na video mbalimbali. Pia inajishughulisha na masuala ya kutoa mafunzo kwa wasanii mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine badi... Read more
June 27, 2016
BLUE STAR MEDIA created a Projects page.
Kuhusu Asasi – The Blue Star Media ni moja kati ya asasi muhimu sana hapa Tanzania,inakusudia kusaidia jamii za kitanzania pamoja na makundi maalumu kama vile, Yatima, wenye ulemavu wa ngozi (Albinism), wazee pamoja na watoto wa mitaani. Pia dhumuni kubwa la asasi hii ni kuwasaidia wasanii ambao kwa muda mrefu sasa wamekata... Read more
June 27, 2016
BLUE STAR MEDIA created a Volunteer page.
We need the Media Production equipents such as Cameras (3 Shooting and 3 Digitals), 2 Computers(Mac) and 2 Laptop (Toshiba), Stands (Tripod and Slide), 1 Drone and 6 Lights.
June 27, 2016
BLUE STAR MEDIA added a News update.
Movie and Photography
June 27, 2016
BLUE STAR MEDIA created a Team page.
Hamis Namawala – Managing Director – Haji Abdul – Project Manager – Mohamed Mmawa – Chair man
June 27, 2016
Sectors
Location
DAR ES SALAAM, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations