Fungua
Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

wajumbe wa Mabaraza ya watoto wakitoa taarifa za utendaji kazi wao katika mkutano mkuu wa Baraza la watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniamjumbe wa Baraza la watoto temeke akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wao kwa mwaka 2013 Mjumbe kutoka Mbeya akiwasilisha taarifa yake ya utendaji kazi.wajumbe wa baraza la watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa wamekaa kwa usikivu wa hali ya juu kusikiliza taarifa za watoto wenzao wakiziwasilisha katika mkutano mkuu wa Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

12 Machi, 2014
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.