wajumbe wa Mabaraza ya watoto wakitoa taarifa za utendaji kazi wao katika mkutano mkuu wa Baraza la watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniamjumbe wa Baraza la watoto temeke akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wao kwa mwaka 2013
Mjumbe kutoka Mbeya akiwasilisha taarifa yake ya utendaji kazi.
wajumbe wa baraza la watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa wamekaa kwa usikivu wa hali ya juu kusikiliza taarifa za watoto wenzao wakiziwasilisha katika mkutano mkuu wa Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
March 12, 2014