Log in
BURUDA DEVELOPMENT FOUNDATION

BURUDA DEVELOPMENT FOUNDATION

Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kuhudumia jamii ili kuleta maendeleo wano yataka wanajimbo wa Matemwe. Ofisi kuu ipo Pwani mchangani ambapo tunahudumia shehia mbali mbali.

Latest Updates
BURUDA DEVELOPMENT FOUNDATION added a News update.
Hivi karibuni mabanda yano uzwa vitu vya utaali yaliteketea na badhi ya jamii ilisemekana kua walihusika. Hata hivyo mpaka sasa suluhu ya kuwepo vibanda hivo kisheria yatafutwa na asasi husika za shehia na serikali kuu
May 26, 2011
BURUDA DEVELOPMENT FOUNDATION created a History page.
BURUDA DEVELOPMENT FOUNDATION imeanzishwa mwaka 2001 na ilipata usajili wake 2001 mwezi wa marchi tarehe 14. Ilianza na wanachama 25 na sasa(2011) inawanachama 69. Inahudumia jamii kwa kusogeza umeme katika kijiji cha pwani mchangani, ukarabati wa kitoa cha afya, kujenga vyumba viwili vya madarasa sckuli, imejenga skuli... Read more
May 26, 2011
BURUDA DEVELOPMENT FOUNDATION joined Envaya.
May 26, 2011
Sectors
Location