Envaya
  • Jumuiya ya Zanzibar Ant Poverty Organization imeelimisha vijana wa kijiji cha SOS mwaka 2009
  • Jumuiya ilisaidia vijana waliofaulu kidato cha tatu ambao ni yatima katika skuli ya kwamtipura mwaka 2010
  • Jumuiya ilielimisha vijana kuhusu athari za mimba za umri mdogo katika ukumbi wa elimu mbadala tarehe 18/12/2010

 

27 Mei, 2011

Maoni (3)

Jumuiya inaomba mashirikiano na wadau mbali mbali wa maendeleo
27 Mei, 2011
ZAO kwa kushirikiana na mashirika mbali mbali wa maendeleo wanaweza kutokomeza umasikini iwapo wataonesha juhudi za kweli.
27 Mei, 2011
Zao wanaahidi kupambana na umaskini kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo
27 Mei, 2011

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.