Parts of this page are in Swahili. Edit translations
- Jumuiya ya Zanzibar Ant Poverty Organization imeelimisha vijana wa kijiji cha SOS mwaka 2009
- Jumuiya ilisaidia vijana waliofaulu kidato cha tatu ambao ni yatima katika skuli ya kwamtipura mwaka 2010
- Jumuiya ilielimisha vijana kuhusu athari za mimba za umri mdogo katika ukumbi wa elimu mbadala tarehe 18/12/2010
May 27, 2011
Comments (3)