Parts of this page are in Swahili. View in English · Edit translations

Mkufunzi akiwaeleza wanachama wa YES jinsi ya kuandaa kitabu cha mahesabu (Cash book analysis). mafunzo haya yalifanyika kwa ufadhiri wa The Foundation for Civil Society (FCS) mapema mwaka 2011.
August 20, 2011
Comments (1)