Envaya

large.jpg

Wanafunzi wa shule ya msingi ya Barafu iliyopo ktk manispaa ya Kinondoni wakinywa uji wa lishe. Mradi wa kuboresha elimu ya Msingi unasimamiwa na YAD ktk baadhi ya shule za majaribio. Mradi umeongeza mahudhurio ya wanafunzi, umepunguza utoro wa wanafunzi na kiwango cha ufaulu kinaongwzeka. Hivyo tunakusudia kuaza mradi huu katika shule za msingi zote nchi nzima.

large.jpg

Wajumbe wa baraza la katiba la YAD wakipata chakula siku ya pili.

large.jpg

Mtaalamu wa masuala ya Katiba na sheria pamoja Mkurugenzi mtendaji wa YAD wakitoa tathmini ya mafanikio ya mkutano wa baraza la katiba la YAD mbele ya Afisa kutoka the Foundation.

large.jpg

Wajumbe wa baraza la katiba la YAD wakiwa katika makundi na wanajadili aina na muundo wa muungano.

large.jpg

Mjumbe wa baraza la katiba la YAD akiwakilisha maoni ya kikundi chao juu ya rasmu ya katiba.