NAPENDA KUWAFAHAMISHA WADAU WETU KUWA TUMEFUNGUA TAWI LA YOUTH ACTION DEVELOPMENT (YAD) KATIKA JIJI LA MWANZA MTAA WA KENYATA
YAD tunatambua mchango wa Mhe.Dr. Jakaya mrisho Kikwete ambaye ni Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuliletea taifa hili maendeleo.
Mhe.Dr. Jakaya mrisho Kikwete ambaye ni Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa mgeni rasmi katika mwaliko wa Futari ya pamoja iliyoandaliwa na Shirika la YAD jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa Dr. Jakaya Kikwete akitoa ushauri mkumbwa wa namna nzuri ya kuendesha Taasizi za vijana nchini Tanzania. Akiwa katika sherehe za kuazimisha miaka mitano ya shirika la YAD tangu lisajiliwe.
Mkurugenzi mtendaji wa YAD akifafanua umuhimu wa vijana kushiriki katika harakati zote za kimaendeleo kwa kushirikiana na Serikali, akifungua makongamano ya kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha na upigaji kura kwa katiba pendekezwa na Bunge maalumu la katiba. Na kasisitiza kuwa vijana wawe mbele katika swala zima la kuilinda na kuienzi amani ya nchi yetu katika kuendea uchaguzi mkuu wa octoba 2015. Pia ameomba wadhamini wajitokeze katika kuwaunga mkono ili waweze kuendelea na makongamano hayo kila kona ya nchi yetu.