Envaya

TAWI LA CHAVITA MTWARA

Masasi, Tanzania

MADHUMUNI YA CHAVITA MTWARA NI PAMOJA NA:-

1. Kufanya shughuli zote zinazohusu Viziwi,Kutoa huduma na kuandaa mikakati mbalimbali kwa manufaa ya Viziwi.

2.Kuwaunganisha na kuelimisha Viziwi ili wapate hali bora ya maisha,huduma muhimu kama vile Raia wengine wa Nchi

3. Kupigania haki na usawa,ushirikiano na jumuia zingine,vyombo vya Serikali na mashirika mbalimbali yenye lengo sawasawa na Chama chetu

4. Kushirikiana na Matawi mengine moja kwa moja au kupitia Chama cha Viziwi Tanzania

5. Kufanikisha malengo ya CHAVITA

6. Kulinda na kuheshimu Katiba ya CHAVITA

7. Kuhakikisha matumizi sahihi ya Lugha ya Alama yanapewa kipaumbele na kutumiwa ipasavyo kwa Viziwi wote na Wakalimani katika Matawi. Hivyo Matawi yatabuni mbinu mbalimbali za kuboresha na kukuza matumizi ya Lugha ya Alama. pia kushirikiana na CHAVITA Makao Makuu ili kuweka mikakati ya kupata Wakalimani bora wenye uwezo wa kuwaunganisha Viziwi na Watu wengine wanaosikia

8. Kukusanya takwimu sahihi za Viziwi waliopo kwenye Matawi(Mikoa/Wilaya) zao kwa kushirikiana na Ofisi za Vingozi wa Serikali za Mitaa.

Mabadiliko Mapya
TAWI LA CHAVITA MTWARA imehariri ukurasa wa Timu.
SAFU YA UONGOZI – KASSIM I MCHINDULLAH MWENYEKITI – ESTHER CHIKOTI MAKAMU MWENYEKITI – AIDAN S.MATINDIKO KATIBU – MOHAMEDI A BAKARI MHAZINI – FARIDA SELEMANI MJUMBE KAMATI KUU YA UTENDAJI ... Soma zaidi
16 Juni, 2015

8 Juni, 2014
TAWI LA CHAVITA MTWARA imehariri ukurasa wa Historia.
Tawi la CHAVITA Mtwara kwa kifupi CHAVITA MTWARA lilianzishwa mwaka 2001 chini ya Katiba na kanuni za Matawi ya chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kwa juhudi za Viziwi wenyewe. Pia sawa na Matawi yote ya CHAVITA Tawi linatumia nembo na Kauli mbiu ya CHAVITA ambayo ni USAWA NA HAKI. Aidha Tawi lina Dira na Utume wake katika kutekeleza malengo... Soma zaidi
8 Juni, 2014
TAWI LA CHAVITA MTWARA imeumba ukurasa wa Mkuu.
MADHUMUNI YA CHAVITA MTWARA NI PAMOJA NA:- – 1. Kufanya shughuli zote zinazohusu Viziwi,Kutoa huduma na kuandaa mikakati mbalimbali kwa manufaa ya Viziwi. – 2.Kuwaunganisha na kuelimisha Viziwi ili wapate hali bora ya maisha,huduma muhimu kama vile Raia wengine wa Nchi – 3. Kupigania haki na... Soma zaidi
6 Juni, 2014
TAWI LA CHAVITA MTWARA imehariri ukurasa wa Timu.
SAFU YA UONGOZI – KASSIM I MCHINDULLAH MWENYEKITI – ESTHER CHIKOTI MAKAMU MWENYEKITI – AIDAN S.MATINDIKO KATIBU – MOHAMEDI A BAKARI MHAZINI – FARIDA SELEMANI MJUMBE KAMATI KUU YA UTENDAJI ... Soma zaidi
6 Juni, 2014
TAWI LA CHAVITA MTWARA imehariri ukurasa wa Historia.
Tawi la CHAVITA Mtwara kwa kifupi CHAVITA MTWARA lilianzishwa mwaka 2001 chini ya Katiba na kanuni za Matawi ya chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kwa juhudi za Viziwi wenyewe. Pia sawa na Matawi yote ya CHAVITA Tawi linatumia nembo na Kauli mbiu ya CHAVITA ambayo ni USAWA NA HAKI. Aidha Tawi lina Dira na Utume wake katika kutekeleza malengo... Soma zaidi
6 Juni, 2014
Sekta
Sehemu
Masasi, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Mafanikio ya CHAVITA Mtwara 2001-2011
Njia za mapato

-Ada za Wanachama

-Misaada

-Michango

-Ruzuku

Idadi ya Wanachama

-Idadi ya Wanachama wa Tawi la CHAVITA Mtwara ni 6 ambao ni Vikundi vya Viziwi vya Wilaya
 na Manispaa ambavyo ni:

 1  Kikundi cha viziwi Wilaya ya Masasi -  ME 15 KE 10 JUMLA 25

 2. Kikundi cha viziwi Wilaya ya Mtwara Vijijini - ME 13 KE 3 JUMLA 19

 3. Kikundi cha Viziwi Manispaa ya Mtwara/Mikindani - ME 19 KE 16  JUMLA 35

 4. Kikundi cha Viziwi Wilaya ya Nanyumbu - ME 6 KE 6 JUMLA 12

 5. Kikundi cha Viziwi Wilaya ya Newala - ME 6 KE 7 JUMLA 13

 6. Kikundi cha Viziwi Wilaya ya Tandahimba - ME 16 KE 8 JUMLA 24

Jumla ya Wanachama katika vikundi vya Viziwi vya Wilaya kwa Mkoa wa Mtwara ni 128.