Envaya

large.jpg

Umoja wa wazee na maendeleo Tanzania wakiwa katika moja ya mikutano yao punde walipo tembelewa na viongozi wa manispaa ya Kinondoni-Dar-es-salaam.

large.jpgKamati ya uchumi na maendeleo ya umoja wa wazee Tanzania wakiwa katika pozi la pamoja kuonyesha ushirikiano.

large.jpgUmoja wa wazee wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa asasi ya Mohispac Foundation(Mch Nziacharo Makenya aliyevalia suti nyeusi pichani) alipowatembelea kuwatia moyo kusonga mbele katika harakati za kutetea maslahi ya wazee Tanzania

 

 

large.jpg

Picha ya pamoja ya viongozi na wanachama wa umoja wa wazee na maendeleo Tanzania.

large.jpg

Umoja wa Wazee wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali walipowatembelea ofisini kwao jijini Dar-es-salaam mnamo tarehe 21-o6-2013.

Wazee ni nguvu,mshikamano,upendo,dawa,hazina ya taifa iliyositirika ambayo ikitumiwa vizuri inaweza kuleta badiliko kubwa katika jamii hasa yenye uhitaji kama wazee.