Kuunganisha fikra za wastaafu pamoja ili kusaidia Taifa letu kwa ushauri na pia wapate nafasi ya kutoa huduma kwa jamii kutokana naujuzi nz uzoefu wao. Kuwa chombo cha kutetea wastaafu na wazee. kuwa sauti ya wastaafu na wazee katika kudai haki zao za msingi na kuzifuatilia hasa huduma za matibabu na utetezi wa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi.
Mabadiliko Mapya
UMOJA WA WASTAAFU NEWALA imeongeza Habari.
Uwane inakaribisha wafadhili mbali mbali wa nje na ndani kusaidia Asasi hii kwa kuipa ufadhili ili iweze kutoa huduma kwa walengwa hasa wastaafu na wazee wa Wilaya ya Newala katika kuboresha afya zao na maisha kwa ujumla. Karibuni sana
6 Juni, 2011
UMOJA WA WASTAAFU NEWALA imeongeza Habari 2.
Asasi ya uwane Newala inakualika kwenye mkutano mkuu wake mwezi August, 2011 kuanzia saa3.00 asubuhi. Tafadhali thibitisha kuhudhuria kwako. Toka Katibu Mtendaji.
18 Mei, 2011
UMOJA WA WASTAAFU NEWALA imejiunga na Envaya.
18 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
NEWALA, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu