Fungua
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

Dar es salaam, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

UNA TANZANIA INA KARIBISHA WADAU WAPENDA MAENDELEO KWA UPANDE WA KULISOGEZA GURUDUMU PAMOJA LA UNA TANZANIA KUPITIA PROJECT ZETU KWANI TUMEKOSA KUUNGWA MKONO ILI KUWEZA KUIFIKIA JAMII KWA MAPANA HIVYO YEYOTE YULE AMBAYE ATAKUWA AMEGUSHWA NA PROJECT (MIRADI) HII KWA MWAKA UJAO TUJULISHE TAFANDALINI SANA MIRADI NI HII

1) ELIMU MASHULENI OKOA KIZAZI CHA DIGITAL

  "MALENGO YA MRADI" (A) KUTOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI,UJINSI NA UJINSIA,SAIKOLOJIA JAMII  NA KUJITAMBUA KWA NJIA YA SANAA SHIRIKISHI(THEATRE),KUPITIA MIDAHARO,SEMINA,KONGAMANO,MAANDAMAO,BONANZA NA TAMASHA NA MAJADILIANO

2) ELIMU YA UJASILIAMALI MASHULENI

"MALENGO YA MRADI"  NI KUTUMIA MARIGHAFI TULIZO NAZO PIA KUVITUMIA VIPAJI TULIVYO NAVYO NA KUVITANGAZA ILI WATOTO WETU WAWEZE KUJIAJIRI WENYEWE NA SI KUSOMA ILI WANGOJE KUAJIRIWA                                                                                                 (A) SANAA YA USHORAJ.UFUMAJI,KUDALIZI,UCHONGAJI,MAIGIZO,NYIMBO,NGOMA,NGONJERA.

B)KUJIFUNA MAPISHI,KUBUNI NA KUCHORA BUSTANI NA KUTENGENEZA MAUWA MASHINDANO YA MICHEZO MBALIMBALI.

 

 

2) FUND 255

-NI MRADI WENYE KULENGA KUTOA ELIMU YA UJASILIAMALI NA ELIMU ZA KUJITAMBUA KWA VIJANA WALIO NJE YA SHULE WAKE KWA WAUME

A) KUJIFUNA - USEREMALA,SANAA,KUSHONA,KUTENGENEZA CURTURE NA UBUNIFU WA MAMBO MBALIMBALI

 

 

26 Desemba, 2015
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.