Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
To educate the community through art on health, poverty and human rights issues
Mabadiliko Mapya
usambara cultural promotion group imeongeza Habari.
Ucpg tunaendelea na mazoezi baada ya maonyesho ya wazi viwanja vya Ilala garden na mabibo.Wadau tegemeeni mambo mapya kutoka kwetu
24 Novemba, 2011
usambara cultural promotion group imeongeza Habari 2.
UCPG ijumaa tarehe 18.Nov watakua na mapambano la wazi la ngoma kati yao na kikosi cha NVRF katika uwanja wa wazi wa Mabibo mpakani wadau wote njooni mjionee.By Mwanaisha Yahya-Katibu Mwenezi-ucpg
13 Novemba, 2011
usambara cultural promotion group imeongeza Habari.
Katibu wa Ucpg ndugu Isaka Kiangio leo amepokea cd yenye nyimbo mpya za baikoko,mdumange,tukulanga ambazo maudhui yake ni kupinga mila potofu na miaka 50 ya uhuru by:Mwanaisha Yahya-katibu mwenezi-ucpg
8 Novemba, 2011
usambara cultural promotion group imeongeza Habari.
Usambara cultural
Promotion Group-ucpg.Tunategemea kufanya tamasha la wazi la ngoma siku ya jmos 12.11.2011 katika viwanja vya Garden Ilala bungoni kuanzia saa 12 jioni wadau wote mnakaribishwa.
Mwanaisha Yahya-katibu mwenezi-ucpg
7 Novemba, 2011
usambara cultural promotion group imeongeza Habari.
Leo tunaendelea na mazoezi katika ukumbi wa ccm mchikichini.Karibuni mje kuona
Mwanaisha Yahya-Katibu Mwenezi-ucpg
6 Novemba, 2011
Sekta
Sehemu
Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu