Log in
usambara cultural promotion group

usambara cultural promotion group

Dar es Salaam, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
UCPG ijumaa tarehe 18.Nov watakua na mapambano la wazi la ngoma kati yao na kikosi cha NVRF katika uwanja wa wazi wa Mabibo mpakani wadau wote njooni mjionee.By Mwanaisha Yahya-Katibu Mwenezi-ucpg
Leo ucpg wapo kwenye viwanja vya Garden Ilala kufanya onyesho la wazi kuanzia saa 10 jioni hadi 6 usiku.Pia kitakuwepo kikundi cha Baikoko,Wote mnakaribishwa
Katibu wa Ucpg ndugu Isaka Kiangio leo amepokea cd yenye nyimbo mpya za baikoko,mdumange,tukulanga ambazo maudhui yake ni kupinga mila potofu na miaka 50 ya uhuru by:Mwanaisha Yahya-katibu mwenezi-ucpg
Usambara cultural Promotion Group-ucpg.Tunategemea kufanya tamasha la wazi la ngoma siku ya jmos 12.11.2011 katika viwanja vya Garden Ilala bungoni kuanzia saa 12 jioni wadau wote mnakaribishwa. Mwanaisha Yahya-katibu mwenezi-ucpg
Leo tunaendelea na mazoezi katika ukumbi wa ccm mchikichini.Karibuni mje kuona Mwanaisha Yahya-Katibu Mwenezi-ucpg