Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Shughuri yetu kubwa ni kutetea haki za wanawake na watoto, hususani usuluhishi wa migogolo. Changamoto kubwa tuliyo nayo ni kwamba kipindi cha kuanzia mwishoni mwa mwaka 2011 hadi sasa, migogoro ya ndoa imekuwa mingi mno. Familia hazina amani, watoto wanahathirika kisaikolojia. Je wenzangu ;mnafikiri tatizo hasa ni nini?