Parts of this page are in Swahili. View in English · Edit translations
Mkuu wa TUPENDANEGROUP anaumwa macho kutokana na kuathirika. Ameshauriwa kuenda Hospitali ya MVUMI ADMISSION HOSPITAL ili kupata matibabu. Sisi wenzake wa TUPENDANE GROUP tunamuombea apone haraka ili shughuli za tupendane ziendelee.
April 21, 2010