Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|
widget:news:attach_image | Attach image | Kufungua picha zote. | ZANSA | May 29, 2012 |
widget:news:empty | This organization has not yet written any news updates. | Shirika hili lipo njiani kuandika habari nyengine za chama chao. | ZANSA | May 16, 2012 |
widget:news:attach_image | Attach image | Kufungua picha | ZANSA | May 16, 2012 |
widget:news:attach_document | Attach document | Kufunguwa hati | ZANSA | May 16, 2012 |
widget:news:add_update | Write News Update | Andika habari yako hapa | ZANSA | May 16, 2012 |
email | Email address | Email: Zanzibarscouts@gmail.com | ZANSA | May 16, 2012 |
(hidden) |
design:edit | Edit website design | mwonekano wa tovuti Zanzibar scouts association ya envaya ndani ya google sasa | ZANSA | May 14, 2012 |
design:edit | Edit website design | Hariri mwonekano wa tovuti ndani ya google | ZANSA | May 14, 2012 |
WIPktL7DZ8JQFeF05LfZfkGT:content | Volunteerism in East Africa – The basic concept of Volunteering is not foreign to any individual, it is simply giving of your time, abilities, knowledge and services for the good of the community in large, without expecting any reward or compensation. Volunteering is one of the main ways that common citizens get involved in a vision to build their community. – There has been a huge emphasis... | Kujitolea katika Afrika Mashariki – Neno Kujitolea si geni kwa mtu yeyote, ni kutoa muda wako, uwezo, maarifa na huduma mbalimbali kwa manufaa ya jamii kwa ujumla, bila kutarajia malipo yoyote au fidia. Kujitolea ni moja ya njia kuu ambayo raia wa kawaida wanaweza kuitumia katika kuendeleza Jamii zao.. – Kumekuwa na juhudi za muda miaka mingi sasa jinsi Waafrika wanavyopaswa kujipatia maendeleo yao... | youngj | May 14, 2012 |
widget:publish | Publish page | Chama cha maskauti chaipata wavuti yao kupitia na envaya | ZANSA | May 13, 2012 |
sector:tourism | Tourism | (Name) join with a envaya kujiunga na envaya | ZANSA | May 13, 2012 |
widget:volunteer:help | Write about any requirements for your organization's volunteers. Describe the type of position available, skills required, location, days to work, person to contact, etc. | Andika kuhusu hizo nafasi za kujitolea. Fafanua aina ya nafasi iliyopo, sifa na ujuzi inayotakiwa, mahali pa kufanyia kazi, siku gani za kujitolea, mtu wa kuwasiliana naye n.k. | ramadhan | May 7, 2012 |
widget:volunteer:help | Write about any requirements for your organization's volunteers. Describe the type of position available, skills required, location, days to work, person to contact, etc. | Andika kuhusu hizo nafasi za kujitolea. Fafanua aina ya nafasi iliyopo, sifa na ujuzi inayotakiwa, mahali ya kufanyia kazi, siku gani za kujitolea, mtu wa kuwasiliana naye n.k. | envayateam | May 3, 2012 |
widget:volunteer:label | Your organization's volunteer opportunities | Nafasi za kujitolea za asasi yako. | envayateam | May 3, 2012 |