Tayari wanafunzi wameshaanza kusoma.Hawa ni wanafunzi baadhi walijisajili kuchukua Course ya mwanzo kabisa yaani Basics Computing.ICT4TD Inauwezo wa kuwabadilisha endapo watanzingatia mafunzo haya.