Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
MAPUNGUFU NI MENGI, MOJA KUNA KIFUNGU CHA 46 , KINA TOA KATAZO L A RAIS KUTO SHITAKIWA NA MTU YEYOTE, BALI NI BUNGE TU, HIVI, FIKIRIA BUNGE HILO NDILO LILILOJAA WABUNGU WA CCM, JE WATAKUWA TAYARI KUMBULUZA MTU WAO, PIA KUNA HATUA NYINGI MPAKA KUFIKIA KUMSHITAKI RAIS, NDIO MAANA RAIS ANATAPANYE MALI ZA UMMA KWANI ANAJUA KATIBA ITAMLINDA, NA NDIO MAANA VIONGOZI WENGI WANAKUWA WABADHILIFU ZAIDI, WAKIWAACHA WANANCHI WAO WAKIWA MASIKINI WA KUTUPWA. |
(Not translated) |