Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI0007BAFEB2ED3000028031:content

Base (English) Kiswahili

Envaya is a free, easy-to-use service that allows civil society organizations to create their own websites, publish their latest news, photos, and documents, interact with grantmakers, and collaborate with other organizations and people around the world.

Over 700 civil society organizations (CSOs) are already using Envaya, from small community based organizations to large NGOs. CSOs on Envaya work on a wide range of activities including advocating for positive change, developing new approaches to poverty reduction, and running projects that range from leading HIV/AIDS education programs to planting trees. 

Below are some of the main benefits of using Envaya for your organization:

Easy-to-Use: To make a website on Envaya, you don't need any special computer training or equipment. In about five minutes, you can set up a home page for your organization yourself.

Free: Hiring someone to build and host a website for your organization can be expensive. Envaya is free.

Mobile: Envaya is optimized for the mobile web, so your website is accessible from any web-enabled mobile phone. 

Envaya on a cell phone with mobile web

Visible: Envaya links your website into its network so that anyone - including grantmakers - can easily find you when they are looking for civil society organizations like yours.

Translated: Envaya is translated in Kiswahili and English, so you can use whichever language you prefer. When somebody visits your site who can't read your language, Envaya will translate your content into their language.

Collaborative: Envaya lets you see what other organizations are up to, send them messages, and engage in discussions together. If an organization hundreds of kilometers away has a successful project and writes about it on Envaya, you can get ideas for your own organization.

Availablility

Currently, Envaya is available for civil society organizations in Tanzania and Rwanda. If you are a representative of a civil society organization that hasn't yet registered for Envaya, sign up now! For more information on how to register for Envaya, continue to the next page.

Envaya inatoa huduma kwa mashirika ya jumuiya ya kiraia kupata tovuti bila malipo yoyote, kuchapisha habari, picha, na hati mpya, kuwasiliana na wafadhili, na kushirikana na mashirika mengine na watu duniani kote.

Sasa, zaidi ya mashirika 600 ya kiraia yanatumia Envaya, kutoka asasi ndogo kwa NGOs kubwa. Mashirika juu ya Envaya yanafanya kazi ya aina mbalimbali, kama kutetea mabadiliko, kuendeleza mipango mipya ya kupunguza umaskini, na kuendesha miradi kuhusu elimu ya VVU/UKIMWI na kupanda miti.

Hapo chini, ipo baadhi ya faida kuu ya kutumia Envaya kwa shirika lako:

Ni Rahisi ya Kutumia: Ili kufungua tovuti yako kupitia Envaya, si lazima uwe na ujuzi mkubwa sana wa kompyuta au kifaa chochote. Kwa muda wa dakika tano tu, unaweza kutengeneza ukurasa mkuu wewe mwenyewe.

Ni Bure: Kuajiri mtu kukutengenezea tovuti na kuihudumia ni ghali sana. Zingatia, Envaya ni bure kabisa.

Inapatikana kwenye Simu: Tovuti yako katika Envaya inapatikana katika simu za mkononi zenye intaneti. 

Envaya kwenye simu yenye intaneti

Inayoonekana:  Envaya inaunganisha tovuti yako katika mtandao wake ili watu waweze kuona tovuti yako kwa urahisi wakati watafutapo mashirika ya jumuiya ya kiraia (kama lako).

Imetafsiriwa: Envaya imetafsiriwa kwa Kiswahili na Kiingereza, ili uweze kutumia lugha yoyote unayoipenda. Mtu yeyote asiejua kusoma lugha yako anapotembelea tovuti yako, Envaya itatafsiri maandiko yako kwa lugha anayotumia.

Ni Shirikishi: Kwenye Envaya, unaweza kuona kazi zinazofanywa na mashirika mengine, kuwapeleka ujumbe, na kuna majadiliano pamoja nao. Kama shirika ambalo liko mbali sana likiwa na mradi mzuri na likiandika katika Envaya kuhusu mradi huo, unaweza kuisoma na kupata mawazo kwa shirika lako.

Upatikanaji

Kwa sasa, Envaya inapatikana kwa mashirika ya kiraia katika Tanzania na Rwanda. Ikiwa wewe ni mwakilishi wa shirika la jumuiya ya kiraia Tanzania ambalo halijajiandikisha kwa Envaya, jiunge sasa ! Kwa maelekezo zaidi juu ya kujiandikisha kwenye Envaya, endelea kwa ukurasa unaofuata.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
April 29, 2013
Envaya ni bure, rahisi kutumia huduma ambayo inaruhusu mashirika ya kiraia ili kujenga tovuti zao wenyewe, kuchapisha habari zao za karibuni, picha, na nyaraka, kiutendaji na grantmakers, na kushirikiana na mashirika mengine na watu duniani kote. – Zaidi ya 700 mashirika ya kiraia (AZAKi) ni tayari kutumia Envaya, kutoka ndogo mashirika ya kijamii na NGOs kubwa. AZAKi juu ya Envaya kazi ya mbalimbali ya shughuli ikiwa ni pamoja na kutetea kwa ajili ya mabadiliko chanya,...
youngj
July 25, 2011
Envaya inatoa huduma kwa mashirika ya jumuiya ya kiraia kupata tovuti bila malipo yoyote, kuchapisha habari, picha, na hati mpya, kuwasiliana na wafadhili, na kushirikiana na mashirika mengine na watu duniani kote. – Sasa, zaidi ya mashirika 600 ya kiraia yanatumia Envaya, kutoka asasi ndogo kwa NGOs kubwa. Mashirika juu ya Envaya yanafanya kazi ya aina mbalimbali, kama kutetea mabadiliko, kuendeleza mipango mipya ya kupunguza umaskini, na kuendesha miradi kuhusu elimu ya...
This translation refers to an older version of the source text.
youngj
July 25, 2011
Envaya inatoa huduma kwa mashirika ya jumuiya ya kiraia kupata tovuti bila malipo yoyote, kuchapisha habari, picha, na hati mpya, kuwasiliana na wafadhili, na kushirikana na mashirika mengine na watu duniani kote. – Sasa, zaidi ya mashirika 600 ya kiraia yanatumia Envaya, kutoka asasi ndogo kwa NGOs kubwa. Mashirika juu ya Envaya yanafanya kazi ya aina mbalimbali, kama kutetea mabadiliko, kuendeleza mipango mipya ya kupunguza umaskini, na kuendesha miradi kuhusu elimu ya...
This translation refers to an older version of the source text.
Google Translate
July 19, 2011
Envaya ni bure, rahisi kutumia huduma ya kwamba utapata mashirika ya kiraia ya kujenga tovuti zao wenyewe, kuchapisha habari zao za karibuni photos,, na nyaraka, kiutendaji na grantmakers, na kushirikiana na mashirika mengine na watu duniani kote. – Zaidi ya 600 mashirika ya kiraia (CSOs) tayari kutumia Envaya, kutoka vidogo vidogo vya kijamii na mashirika yasiyo ya kiserikali kubwa. CSOs juu ya Envaya kazi juu ya aina mbalimbali ya kazi ikiwa ni pamoja na kutetea mabadiliko...
This translation refers to an older version of the source text.