Asili (Kiswahili) | Kinyarwanda |
---|---|
Ingawa Asasi au mashirika yasiyo ya kiserikali sio vizuri kukaa na kuandaa bajeti kwa ajili ya kuomba ruzuku tu, lakini mashirika haya yanatoa mchango mkubwa katika harakati za kupambana na umaskini na kuwa chachu ya maendeleo endelevu. Mashirika ya kimataifa yatambue juhudi za Asasi za kiraia na itakapowezekana ziwe zinapewa ruzuku ili ziendelee na harakati hizi muhimu kwa jamii. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe