Envaya

Tafsiri: Kinyarwanda (rw): Maandiko ya Watumiaji: WIqG5NplNvDlymgKymCRVRjw:content

Asili (Kiswahili) Kinyarwanda

Umoja wa wawezeshaji kioo ni shirika lisilokuwa la kiserikali lenye makao yake makuu katika kijiji cha Ilagala na sasa lina uhitaji wa wafanyakazi wa kujitolea wapatao 5 kwenye maeneo yafuatayo:- Uandishi wa miradi, M&E specilists, mtunisha mfuko (fundrise office) na mtu wa IT kwa ajili ya kuweka kumbukumbu mbalimbali za shirika kwenye website yetu ambayo ni www.kioo.org

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe