Base ((unknown language)) | Kinyarwanda |
---|---|
|
(Not translated) |
Comments
NEYONE haijabaki nyuma katika kipindi hiki cha mchakato wa kuelekea upatikanaji wa katiba mpya, kupitia mradi wa FAHAMU ONGEA SIKILIZWA unaotekelezwa katika kata 10 za wilaya ya Newala vijana 200 wamefikiwa na kupewa mafunzo yaliyowafanya wafahamu kuhusu katiba ya sasa, watoe mawazo/maoni yao katika mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya na pia waweze kusikilizwa na wadau husika ili kupata katiba yenye kukidhi mahitaji ya Taifa la sasa.
June 25, 2013 by NEYONE
|