Asili (Kiswahili) | Kinyarwanda |
---|---|
Binamu yangu karudi huku majuu kama wiki mbili zilizopita kutoka huko nyumbani, katika yote aliyoleta ni hii kasheshe ya Funza za miguu. Ingawa miguu yake haikuharibika kama inavyoonekana kwenye picha, lakini imemchukua muda kurudi kazini kutoka na kuvimba vidole vya miguu. Kwa kweli nilikuwa nimeishasahau hayo maradhi. Natoa pole sana kwa wananchi ambao bado wanasumbuliwa na hili tatizo.
![]() ![]() |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe