Asili (Kiswahili) | Kinyarwanda |
---|---|
Tumaini tunatoa misaada ya elimu kwa watoto yatima na walio katika mazingira magumu zaidi.walengwa wakiwa ;Primary na Secondary. Tumaini tuna fundisha stadi za kazi;Ushonaji,Ufumaji,Ushonaji sweta kwa vijana walioshindwa kuendelea na elimu ya Secondary kwa matatizo mbalimbali yakiwemo ya kijamii na kiuchumi. Kutetea yatima na wajane kupata haki zao. Kutoa elimu ya; ujasilia mali,kujikinga na maambukizi na ukimwi. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe