Envaya

Tafsiri: Kinyarwanda (rw): Maandiko ya Watumiaji: CMqnjxdbbgVDsLH3gDikRPR8:content

Asili (Kiswahili) Kinyarwanda
Habari ndugu zetu wote! tunatumai muko sawakatika kuendeleza jamii katika nyanja mbali mbali, sisi Jumuiya ya Tawabina tunazipongeza NGO zote kwa harakati tunazoziendesha, tunawanasihi tuwe wa kweli na tutangulize maslahi ya jamii kabla ya kueka mbele maslahi yetu. maslahi yetu yatakuja baada ya kuizingati jamii yetu ya Watanzania. Hongera nyote.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe