Internal ID | Asili | Kinyarwanda | Maoni | Muda ya Uumbaji |
---|
CMd9e3ilLSvrH1E6e7Q6YuUW:content | good start and congratulations for showing us a way to succeed this will be the starting point to join you all as to enhance the information sharing and build mutual relationship and trust with other CBOs and NGOs within and out side Tanzania particularly Zanzibar, therefore can NGOs from Zanzibar be the member of NACONGO and RGB | | It is me Phares Mussa ,yhe Director of the Magu Child Ministry,Iwould like to testfy that it is possible to raise fund withing our communities and get what we really need.It was just few passed weeks our Ogarnization needed hymn books for our 3oo children/youths,we introduced it in one church where our children/youth choir sang and people were touched right away and provided all the books we needed! It was not easy to believe this but it happened. | 23 Desemba, 2012 na MCM |
WI0009C3CF86EBB000008768:content | BAGODE is committed to serve and support orphans and street children to live in families and to giving them development opportunities through Research, Capacity building and Advocacy. – We rely on mutual learning and sharing of our results, designing of innovative and quality programs to realize our Mission. | | Lengo kuu la shirika la BAGODE ambalo ndilo ninalofanyika kazi kwa sasa kama mkurugenzi ni ulinzi kwa watoto katika nyanja zote hasa elimu. Tunafanya hivi ili kumsaidia mtoto aweze kupata haki ya elimu kama haki ya msingi kwake. Hivyo mradi wa uwezo utanisaidia kuongeza ujuzi katika kazi yangu ya ufuatiliaji wa masuala ya elimu kwa watoto yatima mashuleni. Hivyo ninapenda kufanya kazi na mradi wa uwezo ili niweze kuongeza ufanisi katika kazi yangu ya ufuatiliaji wa masuala ya elimu kwa watoto yatima mashuleni. | 11 Desemba, 2012 na bagode |
edit_design | Hariri Mwonekano | | Katika harakati za kufikia malengo yEtu,JIDA imeshaandaa Mradi wa Mafunzo ya kuwajengea Uwezo wananchi wa Kata ya Lundi juu Mafunzo ya Mbinu za Ufuatiliaji wa Matumizi ya fedha za Ruzuku za Umma {PETS} zinazotengwa na Serikali kwa ajili ya maboresho ya Sekta ya Elimu katika Kata ya Lundi,Mradi huu umefadhiliwa na Foundation for Civil Society,Pia JIDA tumeshafanya mafunzo ya Kuwajengea Uwezo wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Kata ya Lundi na Wajumbe wa Kamati za Shule zilizomo katika kata ya Lundi juu ya Upangaji wa Bajeti,Kanuni na Sheria za simamizi wa fedha za Umma na Misingi ya Utawala Bora.Mradi huu pia umefadhiliwa na FCS.Mradi huu umefanikiwa sana sana,kwa upande wa Mradi wa mafunzo ya PETS,Wananchi wa Kata ya Lundi sasa wa uelewa wa kutosha katika ufuatiliaji wa fedha za Umma na wanaitumia mbinu ya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma kama ni Nyenzo yao endelevu si katika ufuatiliaji wa fedha za umma,bali pia wametambua kuwa Usimamizi wa Rasilimali za Umma ni jukumu lao,wamepata muamko wa kuhudhuria katika Mikutano ya Wananchi na kuhoji mapato na matumizi ya fedha wanazochangia katika kuboresha Elimu katika Kata na Vijiji vyao,Kwa upande wa Kamati ya Maendeleo ya Kata na Kamati za Shule wameweza kutambua kuwa njia pekee ya kufika katika mafanikio ni kuwajibika na kuwa wawazi katika utendaji wa shughuli zao za kila siku,Kutoa taarifa za mapato na matumizi na kuwashirikisha wananchi katika kupanga na kusimamia Miradi ya Maendeleo ya Sekta mbalimbali ikiwemo ya Elimu. | 24 Septemba, 2012 na JIDA |
edit_design | Hariri Mwonekano | | JIKWAMUE DEVELOPMENT ASSOCIATION,ITAHAKIKISHA KUYAFIA MALENGO YAKE,KWA KUTOA ELIMU KWA JAMII KWA NJIIA YA SEMINA,MIDAHALO MIKUTANO YA KUIHAMASISHA JAMII NA MAKONGAMANO YA WAZI | 24 Septemba, 2012 na JIDA |
share:facebook | Facebook | Facebook | tuwapende watoto | 30 Julai, 2012 na giagomd |
edit_site | Hariri Tovuti | Hindura inyandiko zo kurubuga rwawe | ZANZIBAR SCOUTS ASSOCIATION | 14 Mei, 2012 na ZANSA |
design:edit | Hariri mwonekano wa tovuti | Hindura ishusho y'urubuga | Sasa waweza kuiona acount yako ya envaya ndani ya google. | 14 Mei, 2012 na ZANSA |
feed:title | Mabadiliko mapya | Inkuru zigezweho | Sasa chama cha maskauti wamepata wavuti yao ya envaya | 13 Mei, 2012 na ZANSA |
date:hours_ago | saa %s zilizopita | %s amasaha ashize | Chama cha maskauti ni chama pekee cha kulea vijana wenye umri, rika, dini, mbali mbali nchini | 13 Mei, 2012 na ZANSA |
WInU5phpGzAaXLf0xfYVJ3xh:content | (image) | | a group of drama watching their fellows during voters education sensitization 2010 | 25 Aprili, 2012 na CHILDTZ |