Envaya
/nvrf/topic/123381
: English
Base
English
maisha ni chjangamoto im a lawyer and i spend most of my time to look after street kids bado sijapata uwezo wa kufungua kituo but let us pray god mungu atasaidia
(Not translated)
Edit
Kwa hakika na uwezo wangu natumia muda mwingi sana kupata njia ambayo itaweza kumsaidia mtoto ambaye anaishi mazingira magumu na hasa ambao wanakuwa na uwezo wa kuelimishwa na wakapata elimu na baadae kuwa watengemewa wa taifa la kesho, suluhisho langu ni kuwa, nitatoa msaada wangu kwa hali na mali kama mimi nilivyo saidiwa wa watu wa shilika la kusaidia watoto mpaka nikapata elimu ambayo sikutengemea, na ahidi kuwa nitambambana kuhakikisha watoto wanaoishi...
(Not translated)
Edit
Tuambie jitihada zako za kuwasaidia watoto na una jukumu gani kwenye jamii kwa kusaidia watoto wasinyanyaswe na kuteswa. kumbuka ni wajibu kuwalinda watoto
(Not translated)
Edit
Tuambie unafanya nini kuwasaidia na kuwalinda watoto
Tell us what you are doing to help and protect children
Edit