Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Tuambie unafanya nini kuwasaidia na kuwalinda watoto

Peter Kiangi (Mabibo NVRF)
November 14, 2012 at 8:50 PM EAT

Tuambie jitihada zako za kuwasaidia watoto na una jukumu gani kwenye jamii kwa kusaidia watoto wasinyanyaswe na kuteswa. kumbuka ni wajibu kuwalinda watoto

kasumbo furutuni (dodoma municipal)
March 7, 2013 at 10:23 PM EAT

maisha ni chjangamoto im a lawyer and i spend most of my time to look after street kids bado sijapata uwezo wa kufungua kituo but let us pray god mungu atasaidia

alfred (mwanza)
June 5, 2015 at 12:31 PM EAT

Kwa hakika na uwezo wangu natumia muda mwingi sana kupata njia ambayo itaweza kumsaidia mtoto ambaye anaishi mazingira magumu na hasa ambao wanakuwa na uwezo wa  kuelimishwa na wakapata elimu na baadae kuwa watengemewa wa taifa la kesho, suluhisho langu ni kuwa, nitatoa msaada wangu kwa hali na mali kama mimi nilivyo saidiwa wa watu wa  shilika la kusaidia watoto mpaka nikapata elimu ambayo sikutengemea, na ahidi kuwa nitambambana kuhakikisha watoto wanaoishi mazingira magumu wanapata elimu.


Add New Message

Invite people to participate